Candid Scope JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 11,897 Reaction score 6,933 Jan 24, 2012 Thread starter #21 baba koku said: Mimi nafikiri hapa +walikuwa VIP Lounge ya DIA ya wakati huo mwishoni mwa miaka ya 80 au mwanzoni mwa miaka ya 90 Click to expand... Kipindi hicho Kikwete alikuwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na alikuwa na nafasi nzuri sana ya kusafiri au kukutana na watu mashuhuri kama hawa.
baba koku said: Mimi nafikiri hapa +walikuwa VIP Lounge ya DIA ya wakati huo mwishoni mwa miaka ya 80 au mwanzoni mwa miaka ya 90 Click to expand... Kipindi hicho Kikwete alikuwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na alikuwa na nafasi nzuri sana ya kusafiri au kukutana na watu mashuhuri kama hawa.
WomanOfSubstance Platinum Member Joined May 30, 2008 Posts 5,457 Reaction score 975 Jan 24, 2012 #22 JF bwana! Hivi kuna kinachoweza kupita bila neno? Hiyo picha could be as innocent as a falling leaf ..... hivi...kila jani lidondokalo lina jambo?
JF bwana! Hivi kuna kinachoweza kupita bila neno? Hiyo picha could be as innocent as a falling leaf ..... hivi...kila jani lidondokalo lina jambo?
Leonard Robert JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 11,150 Reaction score 7,416 Jan 24, 2012 #23 kujipendekeza kuzuri samtaimu.
A african2010 Member Joined Mar 31, 2010 Posts 98 Reaction score 12 Jan 25, 2012 #24 Photoshop, ni PM nikutengenezee.