Nawasilisha Micro-finance Management System kwenu wadau

PAWAHOST.COM sasa inatoa offa kabambe kwa huduma mbalimbali,Kama ilivyoorozeshwa hapo chini:-
1. Utengenezaji wa Website kwa gharama kuanzia 150,000/=
2. Utengenezaji wa mifumo mbalimbali kama ya Kibiashara ,shule ,Hospitali 250,000/=
3. Utengenezaji wa Application Mbalimbali zinazoweza kuanzia 75,000/=
4. Utengenezaji wa forums na chatting websites 250,000/=
5. Website Kwa Ajili ya Kuuza Vitu Mbalimbali Online(Kama Amazon)=350,000/=

Pia tunatoa huduma ya Domain Reseller na Hosting kwa package zifuatazo:-
1 GB Disk Space
20GB Bandwidth
UNLIMITED Email Accounts
Free Data Backup
Free SSL Configuration per domain

Kwa package hizo za hosting zilizoainishwa hapo juu gharama ni kuanzia 60,000 Tu kwa Mwaka,Tupigie sasa kwa namba +255687 535650 ,Email :info@pawahost.com ,Website :www.pawahost.com
 
Big Up sana Big up sana.

kazi nzuri marekebisho machache sana naona lakin so far unaweza ipeleka sokoni
 
Habari, Nimetengeneza Micro-finance Management System, ambayo itafaa kutumika kwa vikundi vya akiba na mikopo , pia ni useful system kwa organization ambazo zinafundisha masuala ya Saving and Lending Groups kwa hiyo unaweza ukaijaribu hapa kwenye Computer yako Microfinance Management System USER NAME: user
PASSWORD: user123
na pia kwa account hiyo utaweza access features nyingi isipokuwa administration section

kwa hiyo naomba uingie uijaribu kisha unipe mrejesho wako wa nini kiboreshwe
Rekebisha vitu vifuatavyo
1: User interface , kwa kweli hata haivutii hata kidogo, jitahidi kuchagua rangi zinazovutia, unaweza kutumia material design color ambazo zimekuwa implemented by Google
2: Pagination, unapaswa kufikiria kuweka pagination kwenye ku-display data zako maana hii ni system kubwa ambayo itaweka data nyingi sana, usiwachoshe watumiaji ku-scroll page mpaka wachoke, unaweza ku-implement kwa kutumia data table jquery ili ikupe na option ya search
3: Small devices optimization , unapaswa kufikiria kuhusu hili pia, nimetumia iPad lakini user interface ikawa shaghalabaghala sasa kwa mtu anayetumia simu sijui itakuwaje, siku hizi watu hawahitaji kutumia pc kufanya kazi bali kifaa chochote chenye access ya internet kufanya kazi zao
4: Bugs, unahitaji kufix baadhi ya bugs mfano nilipo login mara ya kwanza sijaona hata sehemu ya log out , nilichofanya ni kufunga page, Mara ya pili nafungua page nakutana na login tena , nilipo login ikaniletea ujumbe (you forgot to logout last time. Please remember to logout properly ) hii inamaanisha hakuna session handling kwenye system yako, ilitakiwa kama nilifunga page hata kwa bahati mbaya as long sikulog out basi session iwe inafanya kazi ili next time nikifungua page ya system niwe directed kwenye dashboard instead ya kunipeleka kwenye login tena, bug nyingine niliyoiona kuna sehemu sijui uliweka ziwe accessible na level fulani na hizo links zake ukibonyeza zinakuleta kwenye login ambalo ni kosa kubwa. Kama ulitaka kuweka multi user access with different access level basi ulipaswa kutoweka link kwa baadhi ya watumiaji kabisa instead ungeweza kuweka hata restricted pages badala ya kukurudisha kwenye login page
5: System optimization , system ni nzito sana katika utendaji kazi, sijajua kuna framework umetumia au la au umetumia nini kutengeneza hii system tafuta framework nzuri ambayo utatumia kuimplement system yako ili iwe nyepesi katika utendaji kazi maana hakuna mtu anapenda kufanya kazi na system ambayo ipo slow
 
Ahsante sana mkuu kwa mrejesho wako, nimeupokea kwa mikono miwili na nitahakikisha nashughulikia hayo yote ambayo umenishauri na baada ya hapo nitaileta hapa kwa ushauri zaidi
 
Habari, Nimetengeneza Micro-finance Management System, ambayo itafaa kutumika kwa vikundi vya akiba na mikopo , pia ni useful system kwa organization ambazo zinafundisha masuala ya Saving and Lending Groups kwa hiyo unaweza ukaijaribu hapa kwenye Computer yako Microfinance Management System USER NAME: user
PASSWORD: user123
na pia kwa account hiyo utaweza access features nyingi isipokuwa administration section

kwa hiyo naomba uingie uijaribu kisha unipe mrejesho wako wa nini kiboreshwe

Hongera sana, ipo vizuri.
Haya ndio maendeleo.
Pia inafunguka hata kwenye smartphone.
Muhimu ni kuifanyia simulation kabla ya kuitumia.
 
Habari, Nimetengeneza Micro-finance Management System, ambayo itafaa kutumika kwa vikundi vya akiba na mikopo , pia ni useful system kwa organization ambazo zinafundisha masuala ya Saving and Lending Groups kwa hiyo unaweza ukaijaribu hapa kwenye Computer yako Microfinance Management System USER NAME: user
PASSWORD: user123
na pia kwa account hiyo utaweza access features nyingi isipokuwa administration section

kwa hiyo naomba uingie uijaribu kisha unipe mrejesho wako wa nini kiboreshwe
Good
 
mkuu fuatilia haya kwa makini
1. GUI ni mbovu jaribu kutumia css za metro au twitter bootstrap
2. Content zako umepanga vibaya kiasi kuna baadhi ya maneno/label yanafichwa na table
3. Security ndio mbovu kabisa nimejaribu fanya SQL injection kwenye page mbili nimefanikiwa tena simple injection ya '1 or 0' nenda kwenye field ya search loand by membership badala ya kuandika membershi ID andika '1 or 0' utapata result haikutakiwa kuwa hivo nakushauri utumie frameowrk kama codeigniter au laravel
 
mkuu nimepitia field zako za search zote zina fail kwenye security naweza pata orodha ya kitu nachotaka kwa sql injection
 
Ahsante sana sana mkuu kwa mrejesho huo nitaushufanyia kazi kama ulivyo, na nitairejesha hapa baada ya marekebisho kwaajili ya maoni zaidi
 
mkuu nimepitia field zako za search zote zina fail kwenye security naweza pata orodha ya kitu nachotaka kwa sql injection
Ahsante sana kwa kweli nilikuwa sijaliona hilo kabla
 
Search fields can be SQL-Injected
 
Attachments

  • Screenshot (41).png
    Screenshot (41).png
    28.7 KB · Views: 39
Ahsante sana kwa kweli nilikuwa sijaliona hilo kabla
usijali idea ni nzuri reqirement ziko poa design na security ndio kuna changamoto na hiyo ni system ya pesa security ni muhimu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom