VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 676
Wapi huko mkuu nje ya nchi? ni PMPrivate sector au Hata nje ya nchi Kama upo vzr kazi zipo nyingi ila kwa UBASHITE huu sio rahisi
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
UALIMU NI WITO!
Kwenye mapambano yangu ya maisha najitahidi niweke akiba ya kutosha ili hata nikifa leo kijana wangu asijekutia mguu shule hizi za kidumu mkononi na sec za kata maana kama uyu muoga ndio mwalimu wake mbona hasira za serikali zitaishia kwa kumbutua kijana wangu na kumlisha matango pori inasikitisha kuona walimu wengi hawajui haki zao.
Ni kweli tena kama bado hujaanza hilo zoezi la akiba lianze sasa mapemaaKwenye mapambano yangu ya maisha najitahidi niweke akiba ya kutosha ili hata nikifa leo kijana wangu asijekutia mguu shule hizi za kidumu mkononi na sec za kata maana kama uyu muoga ndio mwalimu wake mbona hasira za serikali zitaishia kwa kumbutua kijana wangu na kumlisha matango pori inasikitisha kuona walimu wengi hawajui haki zao.
So una washauri wagome cyoWewe wacha zako hizo
Wana experience?Msije mkatuletea walimu aina ya Daudi kumfundisha watoto wetu. Qualified and experienced teachers ndo wanastahili; ama muwalipe au wagome tu
Uzoefu kitu cha msingi unafikiri hao njuka waliopo nyumbani wanaweza ziba pengo la hao wakongwe!Gomeni muone kuna wenzenu wana miaka 2 nyumbani hawajaajiriwa gomeni sasa
Duh! Hii nchi kweli ni balaa, watu wanadai haki zao mnawatishia namna hii, kweli?Gomeni muone kuna wenzenu wana miaka 2 nyumbani hawajaajiriwa gomeni sasa
Acha kupotosha umma, kama kweli wewe ni mwalimu basi Taifa lina hasara, taarifa kuwa kesho walimu wanagoma umezitoa wapi, mwalimu hujui tofauti ya mgogoro na mgomo?Walimu wenzangu, hakuna haja ya kugoma kwa sababu ni sawa na kukata tawi la mtiulilokalia. Tafadhali sana hususani vijana wenzangu tunatakiwa tutambue kuwa UALIMU NI WITO!