Habari wadau.
Awali ya yote niwape pole na majukumu yenu ya kila siku kwa ujumla wenu.
Pili niwashukuru wale wote ambao kwa namna moja au nyingine baada ya post yangu hapa juu ya MWILI KUPIGA SHOTI KAMA UMEME kwa namna ambavyo kila mmoja wenu alivyoweza kureact agaist the topic either positively or negatively niwashukuruni nyote kwani mtazamo wa mtu ndio uwezo wake wakufikiri na usahihi wa mawazo yake.
Wapo ambao wanasaidia positively ilihali wapo wanaokejeli ndugu zangu hapa tunasaidiana wale wote wakejeli mjitafakari upya na mpunguze mzaha kwenye shida ya mtu.
Kipekee nilipata ushauri hapa kimsingi nilienda kupata dawa na ninaendelea vizuri na tatizo niseme limeisha japo bado naendelea na dawa.
Kimsingi tatizo hilo ni mchafuko wa damu ambao unasababishwa na vitu vingi mf bacteria au virus kuingia mwilini na kubadilisha mfumo wa damu ndani ya mwili inshort kwa tatizo langu ni ALLERGY NDIO ILIKUWA INANISUMBUA.
Japo NIlianza kuhisi mambo mengi sana ikiwemo maambukizi niliteseka sana aisee acheni jamani usisikie [ogopeni tutumie kinga wazee nilikata tamaa ya kuishi]
Mwisho nimshukuru mkurugenzi wa JF Mr Melo kwa kazi kubwa na Ubunifu huu tunapata maarifa na hofu kuodoka hatimae mtu unapona kwa ushauri wa humu hongereni hongereni sana na kazi njema.