Nawashauri watu waanze kuangalia Tamthilia, Zitawasaidia kujinoa Ki English!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,658
15,784
Mafunzo sio ya kupambana na adui tu.
Hata kupata communication skills hasa kwa lugha ya Malkia ni jambo la msingi.
Moja ya njia rahisi ya kujifunza Kiingereza cha kuongea na kusikiliza ni kuangalia hizi tamthilia hasa hizi za Kifilipino au zile za Amerika ya Kusini zinazooneshwa na vituo kama vya ITV.

Hata kwenye hii clip dakika ya 8 sekunde ya 45 kamanda wenu amesisitiza sana juu ya ninyi kujifunza lugha ya Malkia.
https://www.youtube.com/watch?v=PX_hJulG1uU
Kazi kwenu...
 
Wanachoweza wao ni kuvunja matofari ya mchanga tu, hayo mengine hayawahusu.
 
Huwa tuna lugha zetu za ishara na ndizo zinatumika karibia na majeshi yote..nawe umeona kingereza ndo cha kujifunza tu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom