Nawashangaa Sana wanawake wanaojiuza

Hakika
 
Hii biashara ilianza shetani alivomhonga mwanamke akamgonga ndo ukawa mwanzo wake.Mwanamke alivoona ni tamu ndo akamuonjesha na mumewe basi laana ikaanzia hapo.
Oh basi kumbe ni laana ya asili kabisa mkuu
 
Kuna mke wa mtu anafanya Kazi ya kukusanya kodi zetu Mr wake nae ni mfanyabiashara Mkubwa tu wote Wana pesa,mijengo mikali,magari makali lakini akitulizi kipira kinamuwasha hatari kijana yeyeto tu handsome anapewa usajili anavaa jezi Uwanjani.
Aina hii si ishu ya uchumi ni spirit
 
Usiwashangae

Unaweza kukuta hata wa kwako usiye mshangaa yuko humo, anatoka nyumbani kwako amesukumia nywele kushoto, akifika huko anazisukumia kulia, anavaa miwani, unapishana naye humtambui

Ishi nao kwa akili
 
Yeah hilo ni pepo mkuu
 
Hii ni biashara kama biashara zingine ndio maana wameamua hivyo
Kuna nchi zingine ukimuita Malaya anakushtaki na ni walipa kodi wazuri tu
Wanajulikana na wamesajiliwa pia wanaenda hospital mara kwa mara kupimwa na kutibiwa
Wanazingatia afya zao
Ila kwa Waafrika ni tofauti wao ni waizi, wachafu, wanashirikiana na majambazi, wana maradhi sugu na yasiyopona
Wanakuambukiza makusudi, hawaendi hospital kujitibu


Hiyo ndio tatizo unaliona wewe kwa hao wa bongo ila kuna nchi utakuta madaraja yanajengwa kwa mchango wa kodi zao pia [emoji1]
 
Ni kazi kubwa sana
 
Usiwashangae

Unaweza kukuta hata wa kwako usiye mshangaa yuko humo, anatoka nyumbani kwako amesukumia nywele kushoto, akifika huko anazisukumia kulia, anavaa miwani, unapishana naye humtambui

Ishi nao kwa akili
Wanawake wengi wapo huku na sasa imekuwa kama fashion kwao kumbe ni laana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…