Majority ni wale wavivu tangu utotoni mwao. 99% ni uvivu wa kufanya kazi.Hapa nazungumzia wale wanawake ambao huwalipisha pesa wanaume kabla au baada ya kuwapa papuchi
Huwaga najiuliza maswali yafuatayo kuhusu wanawake wanaojiuza
1. Je,Wamejaribu kila biashara zikawashinda hivyo wameamua kujiuza wenyewe?
2.Wameuza Mali zao zote mpaka wamebakisha nguo zao tu hivyo wameamua kujiuza wenyewe?
3.Wanaogopa biashara za kujumua na kuuza bidhaa kwamba watafilisika hivyo wameamua kujiuza wenyewe?
4.Hawakopesheki na mabenki au taasisi zingine za mikopo wakaanzisha biashara na ujasiriamali hivyo wameamua kujiuza wenyewe?
5.wamejipa thamani ya bidhaa ndogo ndogo kama vile sigara,unga,kilo ya mchele,fungu la bia n.k? kwani wengine wanajiuza mpaka shilingi aftano.
6.Ikiwa wamejipa thamani kama bidhaa zingine ambazo zinalipiwa Kodi na kuiingizia nchi mapato kwanini na wenyewe wasilipishwe Kodi kulingana na dau lao wanalojiuzia?
Karibuni kwa michango
Never on earth ni sawasawa useme unataka Kodi ya biashara za madawa ya kulevya au bangi hii ni illegal business mkuu huwezi daka mtandao wote huuuBasi itambulike rasmi maana tunakosa Sana mapato huko
Sahihi mkuuMajority ni wale wavivu tangu utotoni mwao. 99% ni uvivu wa kufanya kazi.
Nakubaliana na wewe mkuu lakini kwasasa wameenda mbali zaidi,unakuta mdada ana kazi yake au biashara na anapata kipato kizuri tu lakini bado anajiuza.pia mwingine unakuta kaolewa na mume wake anazingatia huduma na mahitaji mengine lakini pia anajiuza .lolMajority ni wale wavivu tangu utotoni mwao. 99% ni uvivu wa kufanya kazi.
SpiritUnazungumziaje mwanamke mwenye kazi yake au biashara na anapata kipato kizuri tu lakini bado anajiuza?
Hii biashara ilianza shetani alivomhonga mwanamke akamgonga ndo ukawa mwanzo wake.Mwanamke alivoona ni tamu ndo akamuonjesha na mumewe basi laana ikaanzia hapo.