Nawashangaa sana wanaofurahia ya EU

Nawashangaa sana wanaofurahia ya EU

Watanzania wengi ni wastaraabu bado wengi wanaitana ndugu sijui kwa nini kuna watu wanapandikiza chuki hili tufarakane .Mwenyezi Mungu wa rehema hawezi kuwaacha waja wake daima atawalinda na kuepusha mafarakano hayo.
 
Kuna sababu nyingine wala huhitaji nguvu kusema.

Swala la msingi ni je ? Hayo madai yako unahitaji yakamilike yote? Unahisi ni nchi gani ziko huru kama unavyo unavyo zani? Kuna mtu kasingiziwa kesi bila kuambiwa alichokosea? Hakuna sehemu iliyo kamili kama unavyotaka ndugu. Cha msingi tujenge nchi yetu wenyewe . JPM atapita nawe utapewa madaraka uongoze kama unayataka.
Wengine wanapigwa risasi mchana kweupe na hakuna uchunguzi, hii maana yake nini, tujibu hilo tu kwanza, acha longo longo.
 
Nchi yako nayo lazima ilende uhuru wako
Kwanza niwaambie tu kama raia lazima ulinde uhuru wa nchi yako. Kuruhusu hawa wazungu waingilie mambo ya ndani ya hawana cha kupoteza kwa lolote. Pale Libya kwa mfano walipofanikiwa kuwaingia raia baada ya kushidwa kulinda uhuru wao hadi sasa mnajua yaliyopo la sivyo tunataka kuugawa uhuru wetu.

Hii kitu inayoendelea haiwezi fanywa na wazungu iwapo kila mtanzania ataamua kulinda uhuru wa nchi.

Kuna wanasiasa ukiwaangalia kabisa hawafai hata kuingia mlango wa ikulu ama wa bungeni maana wanainajisi nchi yetu na wanashindwa kulinda uhuru wa nchi yetu kwa sasabu za njaa zao.

Baada ya kupata uhuru mwaka 1961 sasa ni zamu ya kujenga nchi. Kila mmoja anajua jinsi sasa hivi nchi yetu inajitahidi kujenga miundo mbinu ya uchumi hapa hakuna wa kupinga maana kazi inapigwa kweli kweli. Cha mshingi tujenge nchi.

Pili baada ya uchaguzi wa 2015 ifahamike kwamba ccm iligawanyika sana - Timu Lowasa na Timu Membe zilimtesa sana JK na baada ya JPM kuingia madalakani kila mmoja alijua hataiweza ccm. Ni kweli kwamba JPM amejitahi sana kwa kiasi cha kukimudu kiti cha uenyekiti ambapo JK alikuwa anapotezea bila kuchukua hatua. Sasa hivi ccm bado inapitia kwenye kipindi cha 2015 - Timu Membe na Timu Lowasa bado zinatamani zipate urais eiza kupitia wenyewe moja kwa moja ama zitumie mwamvuli wa majina ya hao wawili.

Pamoja na mapungufu ya aliyo nayo JPM lakini anatimiza yale aliyotuahidi wapiga kura wake mwaka 2015 -- Mlioshindwa subirini 2020 mje muuze sera zenu tumuache Rais atufanyie kazi. Pigeni kelele bungeni.

Naamini JPM atamilizana na Wazungu na ataendeleea naujenzi wa nchi bila kuyumbishwa.

Mungu ibariki TZ.
 
Kwa kutaka kuiangamiza TZ kwa wazungu nawapigwe tu hizo risasi.. Watu badala ya kutetea misingi ya nchi wanatetea misingi ya wawekezaji wa kibeberu.
hii comment imenifurahisha sana kuliko uzi mzima.
Binafsi hadi leo namlaumu aliyempinga Lissu risasi 30+ bila kutimiza lengo.
Nitamlaumu daima.
 
Sisi kama Watanzania bila kujali dini,rangi,kabila,elimu,kazi,jinsia,inatupaswa kuwa WAZALENDO kwa Mama yetu TANZANIA,tuwapinge wote wenye matamanio ya kuona Nchi yetu inafirisika,inaanguka kiuchumi,inakosa misaada tuwapinge kwa nguvu zote hao sio wenzetu.
Ni nani mwenye akili timamu anayetamani kuona nyumbani kwao panapondwa,kutukanwa,kupuuzwa,kudhihakiwa na jirani??????
Nawasihi sana ndugu zangu tupaluane sisi kwa sisi tukiwa tumevaa nguo kuliko kuvua nguo na kuwashirikisha majirani zetu,ugomvi wetu wa kisiasa uishie kwenye Hoja na sio hujuma.
Nafahamu fika Tanzania ni Nchi ya demokrasia tena ni Nchi huru,Siasa na wanasiasa wasitufanye tukawa wakimbizi,tuipende Nchi yetu kama nuru itokayo machoni petu.
Nitakuwa wa mwisho kushirikiana na wazungu kuibomoa Tanzania na haswa pale tu nitakapoona kiongozi wa juu anajinufaishe yy na familia yake lakini kwa huyu MAGUFULI bado namuona kama icon wa Taifa letu kwa sasa hata kama ana mapungufu ya kibinadamu.
I rest my case
Baba Z wa Nyansarari,Masinki
 
Acha unafiki, kwani wakoloni hawakujenga/kuleta maendeleo! Kwann tuliwafurumusha?
Tuliwafurumusha kwa sababu hawakuwa wazazi wetu kamamili. Tulitaka tujitawale wenyewe.. Yaani black kwa black. Sijui wewe unaelewaje mwenzangnu.
 
Kwanza niwaambie tu kama raia lazima ulinde uhuru wa nchi yako. Kuruhusu hawa wazungu waingilie mambo ya ndani ya hawana cha kupoteza kwa lolote. Pale Libya kwa mfano walipofanikiwa kuwaingia raia baada ya kushidwa kulinda uhuru wao hadi sasa mnajua yaliyopo la sivyo tunataka kuugawa uhuru wetu.

Hii kitu inayoendelea haiwezi fanywa na wazungu iwapo kila mtanzania ataamua kulinda uhuru wa nchi.

Kuna wanasiasa ukiwaangalia kabisa hawafai hata kuingia mlango wa ikulu ama wa bungeni maana wanainajisi nchi yetu na wanashindwa kulinda uhuru wa nchi yetu kwa sasabu za njaa zao.

Baada ya kupata uhuru mwaka 1961 sasa ni zamu ya kujenga nchi. Kila mmoja anajua jinsi sasa hivi nchi yetu inajitahidi kujenga miundo mbinu ya uchumi hapa hakuna wa kupinga maana kazi inapigwa kweli kweli. Cha mshingi tujenge nchi.

Pili baada ya uchaguzi wa 2015 ifahamike kwamba ccm iligawanyika sana - Timu Lowasa na Timu Membe zilimtesa sana JK na baada ya JPM kuingia madalakani kila mmoja alijua hataiweza ccm. Ni kweli kwamba JPM amejitahi sana kwa kiasi cha kukimudu kiti cha uenyekiti ambapo JK alikuwa anapotezea bila kuchukua hatua. Sasa hivi ccm bado inapitia kwenye kipindi cha 2015 - Timu Membe na Timu Lowasa bado zinatamani zipate urais eiza kupitia wenyewe moja kwa moja ama zitumie mwamvuli wa majina ya hao wawili.

Pamoja na mapungufu ya aliyo nayo JPM lakini anatimiza yale aliyotuahidi wapiga kura wake mwaka 2015 -- Mlioshindwa subirini 2020 mje muuze sera zenu tumuache Rais atufanyie kazi. Pigeni kelele bungeni.

Naamini JPM atamilizana na Wazungu na ataendeleea naujenzi wa nchi bila kuyumbishwa.

Mungu ibariki TZ.

To be honest Jamii forum ni kijiwe cha kupoteza uzalendo wetu. Melo Mungu anakuona maana watu hapa wana support EU kwa kuwaambia wawe wasenge.
 
We kweli ni pumba na pambaf mkubwa!
Huwezi kujenga Uchumi Imara bila kushirikisha JUMUIA ZA KIMATAIFA ambazo huchangia almost more than 40% of TANZANIA BUDGET!! Tanzania haina TEKNOLOJIA na Uchumi wake ni TEGEMEZI kwa kutumia TEKNOLOJIA, IKOPO na MISAADA toka nchi na Jumuia za Kimataifa!
Lakn Jumuia na nchi watoa misaada wanapohoji UHALALI wa matumizi ya misaada yao unawaita ati MABEBERU!
Nonsense!
Umekuja ana hoja ambazo hazijawahi fanya na taifa lolote.Misaada inayokuja inatumika kama inavyotakiwa.
 
Hii mada yako ingewafaa Sana wanalumumba wenzako kuliko huku. Naona umejikita Sana kwenye chama chako na kulazimisha yaliyomo humo kuwa ya kitaifa badala ya kichama. Hii inatokana na papara katika ubongo wako.
Niseme tu, Kati ya WAPUUZI wengi mlioko Lumumba nawe umo licha ya kutomfikia Elitwege au Jingalao au JohntheBaptist.
Hii Ni nchi ya Watanzania, sii nchi ya CCM. Wananchi wa nchi hii wako Huru kwa sababu walipewa Uhuru kutokana na kutawaliwa, otherwise tusingetawaliwa tungeendelea kuwa Huru. Kuwa Huru hakumaanishi kuishi in Isolation, Jamii ya kmataifa iliyostaarabika imeweka standard norms ambazo tunapaswa kuzifuata kwani kila Binadamu zinamfaa. Unapozikiuka, lazima Jamii ya Kimataifa ikushangae na kukuonya. Hii tu inaondoa kabisa dhana ya kuwa tuna Absolute Freedom/ Sovereignty. Kwa hiyo huo upumba.vu wenu mnaouimba huko kwenu HAUPO!
Hivi mnajionaje mko huru ilihali Bajeti yenu inawategemea hao mnaowaita Mabeberu?
Mnajionaje mko huru ilihali hamuwezi kununua ARVs, Condoms na Nets za mbu!
Hivi hao mnaowaita Mabeberu kwenye uwekezaji walikuja Kama nzi au mliwaleta ninyi?
Walianza kuiba lini? Nyie mkiwa wapi?
Unajua tofauti ya kulinda UHURU WA NCHI YAKO vs kulinda Serikali ya CCM? CCM sii nchi, na msitafute huruma ya Wananchi kwa kulikoroga na kuja na kisingizio Cha Uhuru wa nchi. Tunaifahamu mipaka Kati ya Nchi/ Taifa dhidi ya Serikali( nenda Shule ili nawe uone tofauti).
Watanzania tutalinda Uhuru wetu dhidi ya yeyote anaetufanya watumwa na anaeminya Uhuru wetu. Serikali ya Magufuli imeshindwa kulinda Uhuru wetu, imekuwa mminyaji wa Uhuru wetu, halafu unataka tumuunge mkono? Never! Ameligawa Taifa akijifikiria yeye, leo analihitaji Taifa liungane, linaanzia kuungania wapi? Ulipoligawa ulitegemea?
Siasa itakuua.
 
Walitaka kuliangamiza Taifa gani kwa wazungu? Je tangu lini hao wazungu mmewaona Ni Angamizo? Unataka tutetee Uhuru wa Taifa letu but at the same time unakubali Uhuru wa sisi Wananchi udhulumiwe? Kuna nchi bila Wananchi? Au huo Uhuru Ni wa watawala tu? Unasikitisha!
Umezurumiwa nini ndugu? Ama ukisoma tu ya wanasiasa humu umeshazurumiwa.
 
Kwanza niwaambie tu kama raia lazima ulinde uhuru wa nchi yako. Kuruhusu hawa wazungu waingilie mambo ya ndani ya hawana cha kupoteza kwa lolote. Pale Libya kwa mfano walipofanikiwa kuwaingia raia baada ya kushidwa kulinda uhuru wao hadi sasa mnajua yaliyopo la sivyo tunataka kuugawa uhuru wetu.

Hii kitu inayoendelea haiwezi fanywa na wazungu iwapo kila mtanzania ataamua kulinda uhuru wa nchi.

Kuna wanasiasa ukiwaangalia kabisa hawafai hata kuingia mlango wa ikulu ama wa bungeni maana wanainajisi nchi yetu na wanashindwa kulinda uhuru wa nchi yetu kwa sasabu za njaa zao.

Baada ya kupata uhuru mwaka 1961 sasa ni zamu ya kujenga nchi. Kila mmoja anajua jinsi sasa hivi nchi yetu inajitahidi kujenga miundo mbinu ya uchumi hapa hakuna wa kupinga maana kazi inapigwa kweli kweli. Cha mshingi tujenge nchi.

Pili baada ya uchaguzi wa 2015 ifahamike kwamba ccm iligawanyika sana - Timu Lowasa na Timu Membe zilimtesa sana JK na baada ya JPM kuingia madalakani kila mmoja alijua hataiweza ccm. Ni kweli kwamba JPM amejitahi sana kwa kiasi cha kukimudu kiti cha uenyekiti ambapo JK alikuwa anapotezea bila kuchukua hatua. Sasa hivi ccm bado inapitia kwenye kipindi cha 2015 - Timu Membe na Timu Lowasa bado zinatamani zipate urais eiza kupitia wenyewe moja kwa moja ama zitumie mwamvuli wa majina ya hao wawili.

Pamoja na mapungufu ya aliyo nayo JPM lakini anatimiza yale aliyotuahidi wapiga kura wake mwaka 2015 -- Mlioshindwa subirini 2020 mje muuze sera zenu tumuache Rais atufanyie kazi. Pigeni kelele bungeni.

Naamini JPM atamilizana na Wazungu na ataendeleea naujenzi wa nchi bila kuyumbishwa.

Mungu ibariki TZ.
Una uhakika hauna tatizo lolote la akili mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom