Nawashangaa sana wanaofurahia ya EU

Nawashangaa sana wanaofurahia ya EU

Kwa kutaka kuiangamiza TZ kwa wazungu nawapigwe tu hizo risasi.. Watu badala ya kutetea misingi ya nchi wanatetea misingi ya wawekezaji wa kibeberu.
Kumbe mkulu kwa nguruwe kwa binadamu mchungu? Kumbe kuna wengine wana haki ya kuishi na wengine hawana haki ya kuishi? Mimi naona EU wako sawa ukizingatia wako watu kama wewe wanaona fulani ni sawa auwawe, na wengine wana haki ya kuishi. Ukiwa mpinzani lazima ufe
 
Mmeshindwa kujua ulikuwa ni mtego mkauvaa kichwa kichwa? Ili mabeberu waone ukweli halisi wanasiasa wanafungwa?mwatumia nguvu kuliko akili,haya pelekeni bakuli china tukishindwa kulipa tuwape mt Kilimanjaro,Bandari au ziwa Victoria wajilipe.
Hayo yote tuliyaomba sana wakati wa JK tukapata mtu tukamwambia hatutaki achekecheke. Mengine ni ya kujitakia mfano Mbowe kaitwa mahakamani kaanza kulandalanda mara south mara ubeligiji wakati anajua anatakiwa mahakamani.
 
Tanzania Ni nchi huru.tulishapata Uhuru wetu toka 1961..TUnataka tujiamulie mambo yetu sisi Ni huru kisiasa tunapaswa tuelekeze nguvu kuondoa huu ukoloni mambo leo
Ni RAHISI kuimba Kama Kasuku ila the reality on the ground suggests otherwise!
 
Kwa maneno machache UKITAKA KUJIAMRIA UTAKAVYO, UNATAKIWA KUJITEGEMEA KWANZA.
Kuna sababu nyingine wala huhitaji nguvu kusema.

Swala la msingi ni je ? Hayo madai yako unahitaji yakamilike yote? Unahisi ni nchi gani ziko huru kama unavyo unavyo zani? Kuna mtu kasingiziwa kesi bila kuambiwa alichokosea? Hakuna sehemu iliyo kamili kama unavyotaka ndugu. Cha msingi tujenge nchi yetu wenyewe . JPM atapita nawe utapewa madaraka uongoze kama unayataka.
 
Daima wazungu huwa hawaingilii nchi za kiafrika kama viongozi hawajajichanganya mfano wa Libya ulioutoa ni kwamba binadamu anahitaji Uhuru na usalama kuliki chochote, ndio maana tuliwafukuza wakoloni pamoja na kwamba walikuwa wanajenga reli, barabara, viwanda nk. Kitendo cha kuzuiwa kusema na usalama duni tuliwafukuza, haya yanawaoonza viongozi wa Africa na nchi zao. Ifike mahala tuwe watu badala ya kuwa kama wanyama.
Bora ya wakoloni weupe kuliko hawa wakoloni weusi, wakoloni weupe hawakuwa na shida na yeyeto asiyeingia anga zao,wwe shika hamsini zako ukitaka Kazi zipo tele viwandani mashambani migodini wwe ni kuchagua tu,ukitaka kufanya biashara ni wwe tu fata vibali hawana shida wala kodi komozi,ukitaka kulima wwwe tu lima chochote soko lipo la kutosha ulaya,chochote kile elimu bora,hospital nk.Alipoingia mkoloni mweusi kavuruga kila kitu Africa vikwazo vya kufanikiwa kila mahali kuanzia shambani hadi mjini.Furaha ya kiongozi wa kiafrica ni kuona waafrica wanakuwa masikini
 
Tanzania Ni nchi huru.tulishapata Uhuru wetu toka 1961..TUnataka tujiamulie mambo yetu sisi Ni huru kisiasa tunapaswa tuelekeze nguvu kuondoa huu ukoloni mambo leo
Uhuru zaidi ya kushusha na kupandisha bendera, huwezi kuwa Uhuru wakati we ni ombaomba
 
Upuuzi mtupu....kazi uonevu umewajaa..roho mbaya...unafiki na ushenzi....wacha wazungu wawanyoroshe ndo mshike adabu wachawi wakubwa wa nchi hii nyie..
 
Pia wao wakicheka na nyani kumbuka ndio watakaoingia gharama za kuhudumia wakimbizi,wanapokea wakimbizi na wazamiaji wengi toka Africa sababu ya uzembe wao wa kutoyafurusha madikteta Africa.
Njia sahihi ya kuachana na wazungu ni kujibidiisha kuuweka uchumi was watu wako juu,kuwa kiongozi Bora wa raia wako,Linda Uhuru na ustawi wa watu na taifa lako,msichukulie ushoga Kama ndio ajenda kuu,yanyofanyika Yana madhara zaidi hata ya ushoga! Hali ikiwa ngumu ushoga hauna pa kutokea nk.
Ni nature ya binadamu ukimfinya Sana au ukimkandamiza sana lazima atatafuta pa kulilia na msaada wa watu kwani nchi yetu haiishi kwenye kisiwa kwamba haina uhusiano na nchi nyingine so tukipiga kelele kulingana na uovu lazima Luna watu watakusikia hata nje ya mipaka yako ndio hwa akina EU nk! Alafu na wao si kwamba wanapiga Tu kelele,hapana ni Kwa kuwa mliingia nao mikataba na mkaridhia terms zao,sasa leo mmekiuka mnaanza kuwalaum tena.
Nasisitiza tena njia pekee ya kuepuka hira za wazungu ni tends wema Kwa raia wako,heshimu haki za raia wako,fuata Yale mliokubaliana na asasi zingine za kimataifa
 
Ukikua utaelewa bado mtoto,Jirani ni sehemu ya jamii ujawi sikia hivi majirani mlishindwa vipi kuwasaidia hawa hadi wakapata maafa.
Hakuna binadamu ambaye namdharau kama yule ambaye anakwenda kwa jirani kutafuta suluhisho la nyumbani kwake
Hakika binadamu kama huyo ni mlaaniwa na ata zika watoto wake na mkewe ata lala na ndugu zake wote pamoja na jirani
Na mkewe atakuwa mjane katika umri mdogo
Hawa watu ni walaaniwa na makafara wa nchi
Wafe ili nchi iendelee
Hiyo ndio siri kubwa
Mwenye hekima na busara pamoja na baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu atanielewa maneno ya kinywa changu!
Amina amina amina na amina
 
Hakuna binadamu ambaye namdharau kama yule ambaye anakwenda kwa jirani kutafuta suluhisho la nyumbani kwake
Hakika binadamu kama huyo ni mlaaniwa na ata zika watoto wake na mkewe ata lala na ndugu zake wote pamoja na jirani
Na mkewe atakuwa mjane katika umri mdogo
Hawa watu ni walaaniwa na makafara wa nchi
Wafe ili nchi iendelee
Hiyo ndio siri kubwa
Mwenye hekima na busara pamoja na baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu atanielewa maneno ya kinywa changu!
Amina amina amina na amina
Hakuna Binadamu mpu.mbavu na mlaaniwa Kama Binadamu MUOVU, anaependa kumkosea Mungu na kujificha katika kivuli Cha Upumbavu wake. Ukivamiwa na majambazi mnayamaliza ndani kwa ndani eeh? Ukifiwa mnamaliza ndani kwa ndani ya familia eeh? Lazima uwe mchawi ili uyatende haya. We don't live in Isolation. Uganda alipotuchokoza tuliililia Jmuiya ya Kimataifa. Libya walipokuja kumsaidia Idd Amin, jirani zetu Wakenya walitusaidia, Nyerere aliponusurika kupinduliwa, aliomba Msaada kwa Wakoloni wa Kiingereza, Afrika ilipokumbwa na Ukimwi, na hata Ebolla, tuliomba Msaada kwa Majirani. Haya yote Ni matatizo ya ndani, ila tuliyapeleka kwa wenye uwezo. Leo hii ndani ya nchi Kuna kikundi kimetwaa na kujimiliksha Uhuru na Utashi wa Watu, unataka victims wasiombe msaada? Je, unapompiga na kumvunja mwanao kiuno mbele ya Jirani yako ambae yumo nyumbani kwako kukutembelea,yeye haoni Wala kusikia kilio Cha mwanao? Au akuache ili umuue?

Nimalizie kwa kukuambia, UTAKUFA WEWE NA WENZAKO MNAOTAKA WENGINE WAFE. TAIFA NI LETU, HAKUNA MWENYE HAKIMILIKI YA TAIFA HILI ISIPOKUWA UMMA WA WATANZANIA. NI VEMA SASA MUNGU AKAWAFUTILIA MBALI WADHALIMU KAMA WEWE ILI TAIFA LIWE NA WENYE AKILI, UTU, NA HOFU YA MUNGU, WASIOJIVUNIA SILAHA AU MAMLAKA!
 
Kwa kutaka kuiangamiza TZ kwa wazungu nawapigwe tu hizo risasi.. Watu badala ya kutetea misingi ya nchi wanatetea misingi ya wawekezaji wa kibeberu.
Kwa hiyo hao wawekezaji aliwaleta yeye na chama chake sio
 
Hayo yote tuliyaomba sana wakati wa JK tukapata mtu tukamwambia hatutaki achekecheke. Mengine ni ya kujitakia mfano Mbowe kaitwa mahakamani kaanza kulandalanda mara south mara ubeligiji wakati anajua anatakiwa mahakamani.
Kesi yake unaijua Lakini
 
Hakuna binadamu ambaye namdharau kama yule ambaye anakwenda kwa jirani kutafuta suluhisho la nyumbani kwake
Hakika binadamu kama huyo ni mlaaniwa na ata zika watoto wake na mkewe ata lala na ndugu zake wote pamoja na jirani
Na mkewe atakuwa mjane katika umri mdogo
Hawa watu ni walaaniwa na makafara wa nchi
Wafe ili nchi iendelee
Hiyo ndio siri kubwa
Mwenye hekima na busara pamoja na baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu atanielewa maneno ya kinywa changu!
Amina amina amina na amina
Ukimdharau atapungukiwa na nini mjaa laana kama wewe?
 
Nakubaliana na HOJA zako kabisa tena sana Mfano kama ulivyoziorodhesha
1. Udikiteta upo? JIBU Upo inategemea na vile una udefine hakuna nchi isiyo kuwa na uditeta hata moja duniani
2.Sheria Kandamizi. Jibu ZIPO kwa mitandao ,takwimu .. Hii ikiachwa kila mmoja kusema au kufanya au kutoa taarifa Basi tutakuwa na taarifa nyingi inatokana na anayetuambia anataka nini
3. UTEKWAJI. upo na haujaanza leo ktk nchi zote sometime lazima wengine tuwe silenced kwa njia yoyote. Hii tangu kipindi cha Mchonga Meno watu walikuwa detained hata kupotezwa. Je Ntuntemeke Sanga stori yake ikoje? Kolimba. Lengo la Security service duniani ni ku operate secretly na ku silence si KGB MOSAAD M16 CIA au TISS
MAKONDA na Ushoga ni Kweli ALIWATISHIA. Lkn ni nani kati yetu anayetamani dada yake asagane au aletewwe posa ya kuolewa kijana wake wa kiume? Utamaduni wetu hatukubali kwa hiyo njaa si sababu ya kuburuzwa.
Ubambikwaji Kesi kwa viongozi WETU wa Upinzani. Inaweza iwe KWELI kabisa. Lkn nani asiyejua kuwa Bro Lisu ni miongoni mwa watu walioshtakiwa mara nyingi zaidi lkn zooote ALIWABWAGA . Hii tunaweza kulilalamikia kwa kuwafanya wasifanye majukumu yao na kuwafanya wawe watu wa kufika polisi na mahakamani tu. Hatuliungi mkono.
Ukandamiza vyama isipokuea ccm . Linaweza kuwa la KINADHALIA au KUFIKIRIKA.
Vyama hivi tunavyo mtaani mfano wakati wa kampeni unapotokea uchaguzi aidha kujaza nafasi wanakuja wengine staili bora kuliko zote ya nyumba kwa nyumba sinaona Wamekamatwa. Ikumbukwe kuwa pasipo Ruzuku vyama vingi havina uwezo kushindana na ccm yenye asset na mali hivyo wimbi la bana matumizi ikiwemo ruzuku inaviathiri tu hivyo vinaweza kushawishika kupewa pesa na wafadhili nje wakiwa na lengo lao
Nadhani kama serkali imewabana waje mtaani door to door tena low cost hiyo ccm inakuja kushtuka haina mizizi huku chini
Asante nawasilisha pasipo itikadi au mlengo wa chama chochote
Nakataaa KUPANGIWA na EU au aweye yote foreigner
Mmeshikwa pabaya sasa wajibuni ujinga wenu tuone na wala msitegemee sijui uzalendo au kuungana bila kujali vyama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom