Nawashangaa sana wanaofurahia ya EU

Nawashangaa sana wanaofurahia ya EU

Kwanza niwaambie tu kama raia lazima ulinde uhuru wa nchi yako. Kuruhusu hawa wazungu waingilie mambo ya ndani ya hawana cha kupoteza kwa lolote. Pale Libya kwa mfano walipofanikiwa kuwaingia raia baada ya kushidwa kulinda uhuru wao hadi sasa mnajua yaliyopo la sivyo tunataka kuugawa uhuru wetu.

Hii kitu inayoendelea haiwezi fanywa na wazungu iwapo kila mtanzania ataamua kulinda uhuru wa nchi.

Kuna wanasiasa ukiwaangalia kabisa hawafai hata kuingia mlango wa ikulu ama wa bungeni maana wanainajisi nchi yetu na wanashindwa kulinda uhuru wa nchi yetu kwa sasabu za njaa zao.

Baada ya kupata uhuru mwaka 1961 sasa ni zamu ya kujenga nchi. Kila mmoja anajua jinsi sasa hivi nchi yetu inajitahidi kujenga miundo mbinu ya uchumi hapa hakuna wa kupinga maana kazi inapigwa kweli kweli. Cha mshingi tujenge nchi.

Pili baada ya uchaguzi wa 2015 ifahamike kwamba ccm iligawanyika sana - Timu Lowasa na Timu Membe zilimtesa sana JK na baada ya JPM kuingia madalakani kila mmoja alijua hataiweza ccm. Ni kweli kwamba JPM amejitahi sana kwa kiasi cha kukimudu kiti cha uenyekiti ambapo JK alikuwa anapotezea bila kuchukua hatua. Sasa hivi ccm bado inapitia kwenye kipindi cha 2015 - Timu Membe na Timu Lowasa bado zinatamani zipate urais eiza kupitia wenyewe moja kwa moja ama zitumie mwamvuli wa majina ya hao wawili.

Pamoja na mapungufu ya aliyo nayo JPM lakini anatimiza yale aliyotuahidi wapiga kura wake mwaka 2015 -- Mlioshindwa subirini 2020 mje muuze sera zenu tumuache Rais atufanyie kazi. Pigeni kelele bungeni.

Naamini JPM atamilizana na Wazungu na ataendeleea naujenzi wa nchi bila kuyumbishwa.

Mungu ibariki TZ.
Kiongozi wa upinzani anamiminiwa risasi zaid 30 mchana kweupe and nothing happens baadae?
Mikutano ya hadhara imezuiwa...
Mishahara ya wafanyakazi mwaka wa nne tunaingia
And ur blabbing like a stupid dog!!
 
Usipo angalia utaachana na mkeo .. Tangu umuoe unakaa nae nyumba ya kupanga wakati vijana wenzio wamejenga. Pevuka ndugu sababu nyingine ni kujifanya mtoto.
 
Kwanza niwaambie tu kama raia lazima ulinde uhuru wa nchi yako. Kuruhusu hawa wazungu waingilie mambo ya ndani ya hawana cha kupoteza kwa lolote. Pale Libya kwa mfano walipofanikiwa kuwaingia raia baada ya kushidwa kulinda uhuru wao hadi sasa mnajua yaliyopo la sivyo tunataka kuugawa uhuru wetu.

Hii kitu inayoendelea haiwezi fanywa na wazungu iwapo kila mtanzania ataamua kulinda uhuru wa nchi.

Kuna wanasiasa ukiwaangalia kabisa hawafai hata kuingia mlango wa ikulu ama wa bungeni maana wanainajisi nchi yetu na wanashindwa kulinda uhuru wa nchi yetu kwa sasabu za njaa zao.

Baada ya kupata uhuru mwaka 1961 sasa ni zamu ya kujenga nchi. Kila mmoja anajua jinsi sasa hivi nchi yetu inajitahidi kujenga miundo mbinu ya uchumi hapa hakuna wa kupinga maana kazi inapigwa kweli kweli. Cha mshingi tujenge nchi.

Pili baada ya uchaguzi wa 2015 ifahamike kwamba ccm iligawanyika sana - Timu Lowasa na Timu Membe zilimtesa sana JK na baada ya JPM kuingia madalakani kila mmoja alijua hataiweza ccm. Ni kweli kwamba JPM amejitahi sana kwa kiasi cha kukimudu kiti cha uenyekiti ambapo JK alikuwa anapotezea bila kuchukua hatua. Sasa hivi ccm bado inapitia kwenye kipindi cha 2015 - Timu Membe na Timu Lowasa bado zinatamani zipate urais eiza kupitia wenyewe moja kwa moja ama zitumie mwamvuli wa majina ya hao wawili.

Pamoja na mapungufu ya aliyo nayo JPM lakini anatimiza yale aliyotuahidi wapiga kura wake mwaka 2015 -- Mlioshindwa subirini 2020 mje muuze sera zenu tumuache Rais atufanyie kazi. Pigeni kelele bungeni.

Naamini JPM atamilizana na Wazungu na ataendeleea naujenzi wa nchi bila kuyumbishwa.

Mungu ibariki TZ.
mkuu EU hawajawahi kutuingilia hata siku moja katika uhuru wetu zaidi ya kutuingilia katika kukamilisha bajeti yetu kwa 40%😎😎
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Usipo angalia utaachana na mkeo .. Tangu umuoe unakaa nae nyumba ya kupanga wakati vijana wenzio wamejenga. Pevuka ndugu sababu nyingine ni kujifanya mtoto.
Wapangaji utawajua tu kwa matendo yao... Mimi ni mwenye nyumba... Mwenye gari soma huo mda
1545144335819.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Serikali iliyoshindwa kuongoza, huanza kugombana na wananchi wake.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa kutaka kuiangamiza TZ kwa wazungu nawapigwe tu hizo risasi.. Watu badala ya kutetea misingi ya nchi wanatetea misingi ya wawekezaji wa kibeberu.

Duh, hivi wewe unahusisha hata asilimia 2 ya ubongo wako kabla hujaropoka?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ungezungumzia unyanyasaji ningekuelewa. Lakini uzazi hapana.
Mwl Nyerere aliwahi kusema kaburu ni kaburu tu, hata kama ni mtu mweusi mradi matendo yake ni ya kibaguzi .
Tuliwafurumusha kwa sababu hawakuwa wazazi wetu kamamili. Tulitaka tujitawale wenyewe.. Yaani black kwa black. Sijui wewe unaelewaje mwenzangnu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Duh, hivi wewe unahusisha hata asilimia 2 ya ubongo wako kabla hujaropoka?
Ubongo wangu uko makini sana. Wasaliti katka nchi ni wahaini kwa mujibu wangu. Kama huelewi uliza tena ujibiwe.
 
Acha upumbavu wanaoiangamiza Tanzania si wazungu bali ni huyo dikteta ambaye kwa maovu yake mbali mbali ameichafua nchi ndani na nje ya nchi. Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu ingekuwa Baba ako kapigwa risasi usingeandika upuuzi kama huu.

Misingi ya wawekezaji wa kibeberu ni akina nani waliosaini? Walishurutishwa kuisaini? Kwanini wanaogopa kuweka mikataba hiyo waliosaini hao majizi na mafisadi wa CCM na Serikali hadharani?

Kwa kutaka kuiangamiza TZ kwa wazungu nawapigwe tu hizo risasi.. Watu badala ya kutetea misingi ya nchi wanatetea misingi ya wawekezaji wa kibeberu.
 
Acha upumbavu wanaoiangamiza Tanzania si wazungu bali ni huyo dikteta ambaye kwa maovu yake mbali mbali ameichafua nchi ndani na nje ya nchi. Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu ingekuwa Baba ako kapigwa risasi usingeandika upuuzi kama huu.

Misingi ya wawekezaji wa kibeberu ni akina nani waliosaini? Walishurutishwa kuisaini? Kwanini wanaogopa kuweka mikataba hiyo waliosaini hao majizi na mafisadi wa CCM na Serikali hadharani?
Nikipata baba mpumbavu anakaa kwenye kopyuta kutafuta nakala za wazungu ili aifitinishe serikali naanza kumudunda mimi.
Kama watu wanarekebisha makosa yaliyokuwepo shida iko wapi hadi watu waanze kuwatetea ili mradi tu mali zetu ziende afu mtu apate kiki za kisiasa. Punga kabisa. Safari hii mtanyooka tu. na kila mnapotapatapa kunaminywa hadi mnyooke.
 
Mambo ya ndani
Mambo ya ndani
Mambo ya ndani,

Kwahiyo tukuache uue watoto wako kisa tu umekuwa baba wa hiyo familia?

Safari hii tupo bega kwa bega na Mabeberu mpaka mbuzi jike washike mimba.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
ZERO BRAIN MAZWAZWA kama wewe ndiyo mnaandika upuuzi wenu kanyaga twende mtapata tabu sana mtanyooka tu na upuuzi mwingine kama vile Nchi hii ikididimia kiuchumi nyie MAZWAZWA hamtaguswa.

Kumudunda na kopyuta ndiyo nini ZWAZWA wewe! Hata kuandika hujui kwa kukimbia umande halafu unamtetea huyo dikteta!!!

Nikipata baba mpumbavu anakaa kwenye kopyuta kutafuta nakala za wazungu ili aifitinishe serikali naanza kumudunda mimi.
Kama watu wanarekebisha makosa yaliyokuwepo shida iko wapi hadi watu waanze kuwatetea ili mradi tu mali zetu ziende afu mtu apate kiki za kisiasa. Punga kabisa. Safari hii mtanyooka tu. na kila mnapotapatapa kunaminywa hadi mnyooke.

Nikipata baba mpumbavu anakaa kwenye kopyuta kutafuta nakala za wazungu
 
ZERO BRAIN MAZWAZWA kama wewe ndiyo mnaandika upuuzi wenu kanyaga twende mtapata tabu sana mtanyooka tu na upuuzi mwingine kama vile Nchi hii ikididimia kiuchumi nyie MAZWAZWA hamtaguswa.

Kumudunda na kopyuta ndiyo nini ZWAZWA wewe! Hata kuandika hujui kwa kukimbia umande halafu unamtetea huyo dikteta!!!
Sijui hata unaweza kuelewa ulicho andika hapa. Ama ni povu tu limetoka ili ushushe pumzi? Haa sasa lala fofofo uko salama salimini. na kesho utafute mkate wa familia yako kwa uhuru kabisa.
 
Akili ndogo huwezi kieleweke nilichoandika, Si mimi niliyekwambia ukimbie umande sasa umeishia kuwa ZWAZWA.

Kama huandiki cha kueleweka usinilizimishe kukuelewa. Mi nalala hapa sawa? Afu mi sikusoma kwenye umande kama wewe. Shida yako ya kupiga umande isikufanye uandikie matako.
 
Usinilizimishe ndiyo nini wewe ZWAZWA? Kuandika hujui utawezaje kusoma nilichokiandika. Rudi shule ukasome ngumbaru before it is too late.

Kama huandiki cha kueleweka usinilizimishe kukuelewa. Mi nalala hapa sawa? Afu mi sikusoma kwenye umande kama wewe. Shida yako ya kupiga umande isikufanye uandikie matako.
 
Kuna sababu nyingine wala huhitaji nguvu kusema.

Swala la msingi ni je ? Hayo madai yako unahitaji yakamilike yote? Unahisi ni nchi gani ziko huru kama unavyo unavyo zani? Kuna mtu kasingiziwa kesi bila kuambiwa alichokosea? Hakuna sehemu iliyo kamili kama unavyotaka ndugu. Cha msingi tujenge nchi yetu wenyewe . JPM atapita nawe utapewa madaraka uongoze kama unayataka.

Honestly, mimi hapa hata sijaelewa unamaanisha nini?

Kwani kukamatwa na kisha eti kuambiwa kosa na kisha kushitakiwa kwa nguvu na kutakiwa kuripoti polisi kila ijumaa, kila wiki maisha yako yote ndiko kunathibitisha kosa??

Unatetea nini wewe hapa?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mi nilipoona umeandika "eiza" nikaamua kutokuwa na seriousness na bandiko lako, nikajua hakuna tena hoja
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom