Nawashangaa sana wanaofurahia ya EU

Nawashangaa sana wanaofurahia ya EU

Hao wanaosherehekea wasikupe pressure kabisa kwani wanajisahau kuwa wamo kwenye jahazi ambalo liko majini. kusherehekea ni sawa ni kutoboa matundu kwenye jahazi wakidhani kuwa jahazi likizama wao watakuwa salama.
CHOMBO KIMEPATA DEREVA HODARI WACHA KIENDE KASI
Nahodha ananyonga abiria chomboni, Nyambizi inajivinjari tayari kutoa msaada kwa abiria waliosalia.
Nyinyi wapishi wa nahodha ndio mnaiona hatari ya abiria kukombolewa. (kibarua kitaota nyasi)

Asingebomoa bomoa nyumba za raia wake pengine wangesimama na yeye.
 
Hakuna binadamu ambaye namdharau kama yule ambaye anakwenda kwa jirani kutafuta suluhisho la nyumbani kwake
Hakika binadamu kama huyo ni mlaaniwa na ata zika watoto wake na mkewe ata lala na ndugu zake wote pamoja na jirani
Na mkewe atakuwa mjane katika umri mdogo
Hawa watu ni walaaniwa na makafara wa nchi
Wafe ili nchi iendelee
Hiyo ndio siri kubwa
Mwenye hekima na busara pamoja na baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu atanielewa maneno ya kinywa changu!
Amina amina amina na amina
Kwenye dini zetu Wana laaniwa waongo, wafitinishaji, wanyimahaki na wadanganyaji.
Na mungu atawalaani uso wao, kichwa Chao, kauli Yao,
 
Kwanza niwaambie tu kama raia lazima ulinde uhuru wa nchi yako. Kuruhusu hawa wazungu waingilie mambo ya ndani ya hawana cha kupoteza kwa lolote. Pale Libya kwa mfano walipofanikiwa kuwaingia raia baada ya kushidwa kulinda uhuru wao hadi sasa mnajua yaliyopo la sivyo tunataka kuugawa uhuru wetu.

Hii kitu inayoendelea haiwezi fanywa na wazungu iwapo kila mtanzania ataamua kulinda uhuru wa nchi.

Kuna wanasiasa ukiwaangalia kabisa hawafai hata kuingia mlango wa ikulu ama wa bungeni maana wanainajisi nchi yetu na wanashindwa kulinda uhuru wa nchi yetu kwa sasabu za njaa zao.

Baada ya kupata uhuru mwaka 1961 sasa ni zamu ya kujenga nchi. Kila mmoja anajua jinsi sasa hivi nchi yetu inajitahidi kujenga miundo mbinu ya uchumi hapa hakuna wa kupinga maana kazi inapigwa kweli kweli. Cha mshingi tujenge nchi.

Pili baada ya uchaguzi wa 2015 ifahamike kwamba ccm iligawanyika sana - Timu Lowasa na Timu Membe zilimtesa sana JK na baada ya JPM kuingia madalakani kila mmoja alijua hataiweza ccm. Ni kweli kwamba JPM amejitahi sana kwa kiasi cha kukimudu kiti cha uenyekiti ambapo JK alikuwa anapotezea bila kuchukua hatua. Sasa hivi ccm bado inapitia kwenye kipindi cha 2015 - Timu Membe na Timu Lowasa bado zinatamani zipate urais eiza kupitia wenyewe moja kwa moja ama zitumie mwamvuli wa majina ya hao wawili.

Pamoja na mapungufu ya aliyo nayo JPM lakini anatimiza yale aliyotuahidi wapiga kura wake mwaka 2015 -- Mlioshindwa subirini 2020 mje muuze sera zenu tumuache Rais atufanyie kazi. Pigeni kelele bungeni.

Naamini JPM atamilizana na Wazungu na ataendeleea naujenzi wa nchi bila kuyumbishwa.

Mungu ibariki TZ.
Kama nmbwai nmbwai du!
 
Kwa kutaka kuiangamiza TZ kwa wazungu nawapigwe tu hizo risasi.. Watu badala ya kutetea misingi ya nchi wanatetea misingi ya wawekezaji wa kibeberu.

We kweli ni pumba na pambaf mkubwa!
Huwezi kujenga Uchumi Imara bila kushirikisha JUMUIA ZA KIMATAIFA ambazo huchangia almost more than 40% of TANZANIA BUDGET!! Tanzania haina TEKNOLOJIA na Uchumi wake ni TEGEMEZI kwa kutumia TEKNOLOJIA, IKOPO na MISAADA toka nchi na Jumuia za Kimataifa!
Lakn Jumuia na nchi watoa misaada wanapohoji UHALALI wa matumizi ya misaada yao unawaita ati MABEBERU!
Nonsense!
 
*TUWAPIGIE KURA WASANII WETU MVP MUSIC AWARDS.* Hizi ni tuzo kubwa huko Nigeria. Turudishe heshima ya Tanzania.

Kwa kuwa wasanii wetu wengine wako wawili kwenye kipengele kimoja tupange tumpigie nani kura kila kipengele ili tusigawanye kura na tukashindwa kuchukua tuzo.

Vipengele:
*BEST MALE*
Hapa yupo Harmonize na Diamond. Tumpigie HARMONIZE kwa kuwa Diamond yupo kwenye vipengele vingine vingi.

*BEST FEMALE*
Tumpigie Maua Sama. Yupo peke yake toka Tz na East Africa

*BEST HIP HOP*
Hapa hakuna mbongo. Tumpe Khaligraph Jones mkali jirani yetu toka Kenya.

*BEST POP*
Tumpigie *Diamond Platnumz* yupo peke yake toka Tz na East Africa

*BEST COLLABORATION*
Hapa kuna JIBEBE na KATIKA. Tuipigie kura KATIKA YA NAVY KENZO kwa kuwa Diamond bado yupo kwenye vipengele vingine vingi. Isitoshe na kwenye KATIKA yumo

*DIGITAL ARTIST OF THE YEAR*
*Tumpigie Diamond Platnumz.* Hapa yupo peke yake kutoka Tanzania & East Africa

*BEST GROUP OF THE YEAR*

Tuwapigie Navy Kenzo

*SONG OF THE YEAR*
Hapa kuna *African Beauty ya Diamond*, na kuna *KWANGWARU* ya Harmonize na Diamond. Tuipigie *KWANGWARU* maana itapata kura nyingi zaidi toka nchi nyjngine za Africa kwa kuwa mpaka sasa ndo most viewed African music video kwa 2018. Na pia Diamond yumo

*BEST NEW ARTIST*
Tumpigie MBOSSO. Yupo peke yake kutoka Tz & East Africa

*LISTENERS' CHOICE*
Hapa ipo KATIKA ya Navy Kenzo na KWANGWARU ya Navy Kenzo. Tuipigie KATIKA ya Navy Kenzo maana KWANGWARU tushaipigia hapo juu

*AFRICAN PRODUCER OF THE YEAR*
Tumpigie NAHREEL yupo peke yake kutoka Tz & East Africa

*AFRICAN ARTIST OF THE YEAR*
Tumpigie *Diamond Platnumz* yupo peke yake kutoka Tz & East Africa

*JINSI YA KUPIGA KURA*
Click hii link
Soundcity MVP Awards Festival – Nominees are… Vote Now

Utakutana na vipengele vya tuzo zenyewe na majina ya wasanii husika (Nominees) gusa msanii unayempigia kura. Kura nu mara 1.

Tuache team zisizokuwa na maana. Tulete tuzo nyumbani.

*SAMBAZA KWA GROUPS ZAKO ZOTE*
 
Mimi ni mmoja kati ya watu wanao shangilia.tukiwekewa vikwazo nitafanya sherehe kubwa sana walahi.
 
Wewe hueleweki je ni jwa nini sisi Tanzania tuliingilia mambo ya comoro ? Au nyani haangalii .....?
 
Kwani kipindi cha awamu iliopita kulikua na matamko na maresolution toka EU na USA? Kwani kipindi cha nyuma mambo yalikua kama yalivyosasa hivi? Kwamba yeye ni special sana ndo mana haya yanatokea hivi?
Yaani mpaka leo hujajua kwa nini leo maresolution. Wazungu hawajawahi kukutana na kiongozi shupavu kama JPM wazungu hawana cha kuiba tena. Wamedhibitiwa vilivyo,walizoea kupora sasa uchumi wao hoi maana dhahabu ya Tanzania hakuna kuiba. Sasa watakuja na matamko kibao na huu ni mwanzo tu.
 
Jibu zile Hoja 15,kama waraka tu wa maaskofu hata moja amjajibu vipi kuhusu wa EU, hakuna baba wala mwana awezae kujibu Hoja hizo,watabwabwaja tu kwenye ushoga utadhani mabeberu wamelazimisha muwe mashoga wao wanataka haki za watu wote zilindwe Bila kujali mapungufu yao
Kwanza niwaambie tu kama raia lazima ulinde uhuru wa nchi yako. Kuruhusu hawa wazungu waingilie mambo ya ndani ya hawana cha kupoteza kwa lolote. Pale Libya kwa mfano walipofanikiwa kuwaingia raia baada ya kushidwa kulinda uhuru wao hadi sasa mnajua yaliyopo la sivyo tunataka kuugawa uhuru wetu.

Hii kitu inayoendelea haiwezi fanywa na wazungu iwapo kila mtanzania ataamua kulinda uhuru wa nchi.

Kuna wanasiasa ukiwaangalia kabisa hawafai hata kuingia mlango wa ikulu ama wa bungeni maana wanainajisi nchi yetu na wanashindwa kulinda uhuru wa nchi yetu kwa sasabu za njaa zao.

Baada ya kupata uhuru mwaka 1961 sasa ni zamu ya kujenga nchi. Kila mmoja anajua jinsi sasa hivi nchi yetu inajitahidi kujenga miundo mbinu ya uchumi hapa hakuna wa kupinga maana kazi inapigwa kweli kweli. Cha mshingi tujenge nchi.

Pili baada ya uchaguzi wa 2015 ifahamike kwamba ccm iligawanyika sana - Timu Lowasa na Timu Membe zilimtesa sana JK na baada ya JPM kuingia madalakani kila mmoja alijua hataiweza ccm. Ni kweli kwamba JPM amejitahi sana kwa kiasi cha kukimudu kiti cha uenyekiti ambapo JK alikuwa anapotezea bila kuchukua hatua. Sasa hivi ccm bado inapitia kwenye kipindi cha 2015 - Timu Membe na Timu Lowasa bado zinatamani zipate urais eiza kupitia wenyewe moja kwa moja ama zitumie mwamvuli wa majina ya hao wawili.

Pamoja na mapungufu ya aliyo nayo JPM lakini anatimiza yale aliyotuahidi wapiga kura wake mwaka 2015 -- Mlioshindwa subirini 2020 mje muuze sera zenu tumuache Rais atufanyie kazi. Pigeni kelele bungeni.

Naamini JPM atamilizana na Wazungu na ataendeleea naujenzi wa nchi bila kuyumbishwa.

Mungu ibariki TZ.
 
Hao team tumbo hawawezi kuelewa sio waathirika. Hakuna awezaye jibu waraka huo sio musiba,gambo,hapi, makonda,kigwangala,muro au lemutuz siku hizi wapo kimya sana si kama zamani baba akiguswa kila mmoja anatoa jibu.Huu utapita kama ule wa maaskofu
Umezungumzia watu badala ya matatizo yanayodaiwa na EU pamoja US !! eg Team Membe, Team Lowassa, Maghufuli nk, badala kujadili hoja zilizoletwa mezani na hao jamaa !!!!

1. Je u dictator upo au haupo. Na unauelewa ?!
2. Je sheria kandamizi za mitandao, takwimu , vyama, nk zipo ?!
3. Ni kweli watu wanatekwa na kupotezwa ?!
4. Je Makonda aliwatishia amani mashoga na wasagaji ?!
5. Je viongozi wa upinzani wanabambikiwa kesi ?!. eg kuuawa kwa Akwilina.
6. Je vyama tofauti na CCM vinakandamizwa kufanya siasa ?!

Unapiwalaani wanaounga mkono hao mnaowaita ma beberu. Tafakari kama serikali nayo iko fair kwa watu wa kada zote. Kama wana mipango inayokandamiza wengine kwa maslahi yao ya kisiasa then hauko sawa. Tuwe na utaratibu ulio sawa kwa wote .
 
Kwanza niwaambie tu kama raia lazima ulinde uhuru wa nchi yako. Kuruhusu hawa wazungu waingilie mambo ya ndani ya hawana cha kupoteza kwa lolote. Pale Libya kwa mfano walipofanikiwa kuwaingia raia baada ya kushidwa kulinda uhuru wao hadi sasa mnajua yaliyopo la sivyo tunataka kuugawa uhuru wetu.

Hii kitu inayoendelea haiwezi fanywa na wazungu iwapo kila mtanzania ataamua kulinda uhuru wa nchi.

Kuna wanasiasa ukiwaangalia kabisa hawafai hata kuingia mlango wa ikulu ama wa bungeni maana wanainajisi nchi yetu na wanashindwa kulinda uhuru wa nchi yetu kwa sasabu za njaa zao.

Baada ya kupata uhuru mwaka 1961 sasa ni zamu ya kujenga nchi. Kila mmoja anajua jinsi sasa hivi nchi yetu inajitahidi kujenga miundo mbinu ya uchumi hapa hakuna wa kupinga maana kazi inapigwa kweli kweli. Cha mshingi tujenge nchi.

Pili baada ya uchaguzi wa 2015 ifahamike kwamba ccm iligawanyika sana - Timu Lowasa na Timu Membe zilimtesa sana JK na baada ya JPM kuingia madalakani kila mmoja alijua hataiweza ccm. Ni kweli kwamba JPM amejitahi sana kwa kiasi cha kukimudu kiti cha uenyekiti ambapo JK alikuwa anapotezea bila kuchukua hatua. Sasa hivi ccm bado inapitia kwenye kipindi cha 2015 - Timu Membe na Timu Lowasa bado zinatamani zipate urais eiza kupitia wenyewe moja kwa moja ama zitumie mwamvuli wa majina ya hao wawili.

Pamoja na mapungufu ya aliyo nayo JPM lakini anatimiza yale aliyotuahidi wapiga kura wake mwaka 2015 -- Mlioshindwa subirini 2020 mje muuze sera zenu tumuache Rais atufanyie kazi. Pigeni kelele bungeni.

Naamini JPM atamilizana na Wazungu na ataendeleea naujenzi wa nchi bila kuyumbishwa.

Mungu ibariki TZ.
Miaka karibu 60 bado mnaijenga na inazidi kubomoka
 
Hii mada yako ingewafaa Sana wanalumumba wenzako kuliko huku. Naona umejikita Sana kwenye chama chako na kulazimisha yaliyomo humo kuwa ya kitaifa badala ya kichama. Hii inatokana na papara katika ubongo wako.
Niseme tu, Kati ya WAPUUZI wengi mlioko Lumumba nawe umo licha ya kutomfikia Elitwege au Jingalao au JohntheBaptist.
Hii Ni nchi ya Watanzania, sii nchi ya CCM. Wananchi wa nchi hii wako Huru kwa sababu walipewa Uhuru kutokana na kutawaliwa, otherwise tusingetawaliwa tungeendelea kuwa Huru. Kuwa Huru hakumaanishi kuishi in Isolation, Jamii ya kmataifa iliyostaarabika imeweka standard norms ambazo tunapaswa kuzifuata kwani kila Binadamu zinamfaa. Unapozikiuka, lazima Jamii ya Kimataifa ikushangae na kukuonya. Hii tu inaondoa kabisa dhana ya kuwa tuna Absolute Freedom/ Sovereignty. Kwa hiyo huo upumba.vu wenu mnaouimba huko kwenu HAUPO!
Hivi mnajionaje mko huru ilihali Bajeti yenu inawategemea hao mnaowaita Mabeberu?
Mnajionaje mko huru ilihali hamuwezi kununua ARVs, Condoms na Nets za mbu!
Hivi hao mnaowaita Mabeberu kwenye uwekezaji walikuja Kama nzi au mliwaleta ninyi?
Walianza kuiba lini? Nyie mkiwa wapi?
Unajua tofauti ya kulinda UHURU WA NCHI YAKO vs kulinda Serikali ya CCM? CCM sii nchi, na msitafute huruma ya Wananchi kwa kulikoroga na kuja na kisingizio Cha Uhuru wa nchi. Tunaifahamu mipaka Kati ya Nchi/ Taifa dhidi ya Serikali( nenda Shule ili nawe uone tofauti).
Watanzania tutalinda Uhuru wetu dhidi ya yeyote anaetufanya watumwa na anaeminya Uhuru wetu. Serikali ya Magufuli imeshindwa kulinda Uhuru wetu, imekuwa mminyaji wa Uhuru wetu, halafu unataka tumuunge mkono? Never! Ameligawa Taifa akijifikiria yeye, leo analihitaji Taifa liungane, linaanzia kuungania wapi? Ulipoligawa ulitegemea?
 
We Mbuzi jike tulia mtazaa tu awamu hii na mabeberu
Kwa kutaka kuiangamiza TZ kwa wazungu nawapigwe tu hizo risasi.. Watu badala ya kutetea misingi ya nchi wanatetea misingi ya wawekezaji wa kibeberu.
 
Kuna sababu nyingine wala huhitaji nguvu kusema.

Swala la msingi ni je ? Hayo madai yako unahitaji yakamilike yote? Unahisi ni nchi gani ziko huru kama unavyo unavyo zani? Kuna mtu kasingiziwa kesi bila kuambiwa alichokosea? Hakuna sehemu iliyo kamili kama unavyotaka ndugu. Cha msingi tujenge nchi yetu wenyewe . JPM atapita nawe utapewa madaraka uongoze kama unayataka.
Mbowe ana kesi ya kumpiga risasi Akwilina
 
Wazee wa uhamsho,nk wengi tu kwa vita binafsi kupitia mgongo wa uhujumu uchumi lengo wakae ndani ili biashara zao nje zife Kwa kukosa usimamizi
Nani uko magereza kwa miaka ndugu? Wote walishitakiwa malishahukumiwa na wangine walishamaliza vifungo vyao.
 
Kwa kutaka kuiangamiza TZ kwa wazungu nawapigwe tu hizo risasi.. Watu badala ya kutetea misingi ya nchi wanatetea misingi ya wawekezaji wa kibeberu.
Walitaka kuliangamiza Taifa gani kwa wazungu? Je tangu lini hao wazungu mmewaona Ni Angamizo? Unataka tutetee Uhuru wa Taifa letu but at the same time unakubali Uhuru wa sisi Wananchi udhulumiwe? Kuna nchi bila Wananchi? Au huo Uhuru Ni wa watawala tu? Unasikitisha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom