nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 6,496
- 11,201
Unahisi hana kichwa, then unamtaka akajitazame kwenye kioo?Hebu jitizame kwenye Kioo kama kichwa chako kipo kweli?
macho yatakua kifuani, sio?
Unahisi hana kichwa, then unamtaka akajitazame kwenye kioo?Hebu jitizame kwenye Kioo kama kichwa chako kipo kweli?
Mkuu kumbuka hawa jamaa ni nyumbu, usiwe na wasiwasiKwanza niwaambie tu kama raia lazima ulinde uhuru wa nchi yako. Kuruhusu hawa wazungu waingilie mambo ya ndani ya hawana cha kupoteza kwa lolote. Pale Libya kwa mfano walipofanikiwa kuwaingia raia baada ya kushidwa kulinda uhuru wao hadi sasa mnajua yaliyopo la sivyo tunataka kuugawa uhuru wetu.
Hii kitu inayoendelea haiwezi fanywa na wazungu iwapo kila mtanzania ataamua kulinda uhuru wa nchi.
Kuna wanasiasa ukiwaangalia kabisa hawafai hata kuingia mlango wa ikulu ama wa bungeni maana wanainajisi nchi yetu na wanashindwa kulinda uhuru wa nchi yetu kwa sasabu za njaa zao.
Baada ya kupata uhuru mwaka 1961 sasa ni zamu ya kujenga nchi. Kila mmoja anajua jinsi sasa hivi nchi yetu inajitahidi kujenga miundo mbinu ya uchumi hapa hakuna wa kupinga maana kazi inapigwa kweli kweli. Cha mshingi tujenge nchi.
Pili baada ya uchaguzi wa 2015 ifahamike kwamba ccm iligawanyika sana - Timu Lowasa na Timu Membe zilimtesa sana JK na baada ya JPM kuingia madalakani kila mmoja alijua hataiweza ccm. Ni kweli kwamba JPM amejitahi sana kwa kiasi cha kukimudu kiti cha uenyekiti ambapo JK alikuwa anapotezea bila kuchukua hatua. Sasa hivi ccm bado inapitia kwenye kipindi cha 2015 - Timu Membe na Timu Lowasa bado zinatamani zipate urais eiza kupitia wenyewe moja kwa moja ama zitumie mwamvuli wa majina ya hao wawili.
Pamoja na mapungufu ya aliyo nayo JPM lakini anatimiza yale aliyotuahidi wapiga kura wake mwaka 2015 -- Mlioshindwa subirini 2020 mje muuze sera zenu tumuache Rais atufanyie kazi. Pigeni kelele bungeni.
Naamini JPM atamilizana na Wazungu na ataendeleea naujenzi wa nchi bila kuyumbishwa.
Mungu ibariki TZ.
Mimi binafsi naunga mkono juhudi za EU na USA sio lazma tufananeKuna sababu nyingine wala huhitaji nguvu kusema.
Swala la msingi ni je ? Hayo madai yako unahitaji yakamilike yote? Unahisi ni nchi gani ziko huru kama unavyo unavyo zani? Kuna mtu kasingiziwa kesi bila kuambiwa alichokosea? Hakuna sehemu iliyo kamili kama unavyotaka ndugu. Cha msingi tujenge nchi yetu wenyewe . JPM atapita nawe utapewa madaraka uongoze kama unayataka.
Kwani kipindi cha awamu iliopita kulikua na matamko na maresolution toka EU na USA? Kwani kipindi cha nyuma mambo yalikua kama yalivyosasa hivi? Kwamba yeye ni special sana ndo mana haya yanatokea hivi?Kuna sababu nyingine wala huhitaji nguvu kusema.
Swala la msingi ni je ? Hayo madai yako unahitaji yakamilike yote? Unahisi ni nchi gani ziko huru kama unavyo unavyo zani? Kuna mtu kasingiziwa kesi bila kuambiwa alichokosea? Hakuna sehemu iliyo kamili kama unavyotaka ndugu. Cha msingi tujenge nchi yetu wenyewe . JPM atapita nawe utapewa madaraka uongoze kama unayataka.
Pole sana, utakapofumbuka macho utagundua kuwa ulikuwa 'Paulo/Sauli'. Wewe ndio tatizo la nchi hii kwa kuabudu udikteta.Kwa kutaka kuiangamiza TZ kwa wazungu nawapigwe tu hizo risasi.. Watu badala ya kutetea misingi ya nchi wanatetea misingi ya wawekezaji wa kibeberu.
Tunaipenda Tanzania yetu sana kama wazalendo na nchi yetu ,lakini katika andiko la EU ni vema serikali ikayatafakari vema na kuyaafanyia maamuzi sahihi hasa pale walipo shauriwa juu ya mambo kadha wa kadha yatokanayo na baruaKwanza niwaambie tu kama raia lazima ulinde uhuru wa nchi yako. Kuruhusu hawa wazungu waingilie mambo ya ndani ya hawana cha kupoteza kwa lolote. Pale Libya kwa mfano walipofanikiwa kuwaingia raia baada ya kushidwa kulinda uhuru wao hadi sasa mnajua yaliyopo la sivyo tunataka kuugawa uhuru wetu.
Hii kitu inayoendelea haiwezi fanywa na wazungu iwapo kila mtanzania ataamua kulinda uhuru wa nchi.
Kuna wanasiasa ukiwaangalia kabisa hawafai hata kuingia mlango wa ikulu ama wa bungeni maana wanainajisi nchi yetu na wanashindwa kulinda uhuru wa nchi yetu kwa sasabu za njaa zao.
Baada ya kupata uhuru mwaka 1961 sasa ni zamu ya kujenga nchi. Kila mmoja anajua jinsi sasa hivi nchi yetu inajitahidi kujenga miundo mbinu ya uchumi hapa hakuna wa kupinga maana kazi inapigwa kweli kweli. Cha mshingi tujenge nchi.
Pili baada ya uchaguzi wa 2015 ifahamike kwamba ccm iligawanyika sana - Timu Lowasa na Timu Membe zilimtesa sana JK na baada ya JPM kuingia madalakani kila mmoja alijua hataiweza ccm. Ni kweli kwamba JPM amejitahi sana kwa kiasi cha kukimudu kiti cha uenyekiti ambapo JK alikuwa anapotezea bila kuchukua hatua. Sasa hivi ccm bado inapitia kwenye kipindi cha 2015 - Timu Membe na Timu Lowasa bado zinatamani zipate urais eiza kupitia wenyewe moja kwa moja ama zitumie mwamvuli wa majina ya hao wawili.
Pamoja na mapungufu ya aliyo nayo JPM lakini anatimiza yale aliyotuahidi wapiga kura wake mwaka 2015 -- Mlioshindwa subirini 2020 mje muuze sera zenu tumuache Rais atufanyie kazi. Pigeni kelele bungeni.
Naamini JPM atamilizana na Wazungu na ataendeleea naujenzi wa nchi bila kuyumbishwa.
Mungu ibariki TZ.
Na likipita bila lolote kutokea utakuja na maneno gan mengineMara hii Jiwe kashikwa koroda..... Hawezi kufurukuta. Ametolewa nje ya mstari. Hakuna kiongozi yeyote ambaye ni DHALIMU atapendwa na raia anaowaongoza. Jiwe kajaa VISASI, acha wazungu wamwadabishe.
Kwa kutaka kuiangamiza TZ kwa wazungu nawapigwe tu hizo risasi.. Watu badala ya kutetea misingi ya nchi wanatetea misingi ya wawekezaji wa kibeberu.
Pumba ni chakula bora. Kwa mifugo saw a kipofu wa akiliAlfajiri hii umetuandikia pumba tupu, itakapofika mchana sijajua ni yapi utayawasilisha.
Nakubaliana na HOJA zako kabisa tena sana Mfano kama ulivyoziorodheshaUmezungumzia watu badala ya matatizo yanayodaiwa na EU pamoja US !! eg Team Membe, Team Lowassa, Maghufuli nk, badala kujadili hoja zilizoletwa mezani na hao jamaa !!!!
1. Je u dictator upo au haupo. Na unauelewa ?!
2. Je sheria kandamizi za mitandao, takwimu , vyama, nk zipo ?!
3. Ni kweli watu wanatekwa na kupotezwa ?!
4. Je Makonda aliwatishia amani mashoga na wasagaji ?!
5. Je viongozi wa upinzani wanabambikiwa kesi ?!. eg kuuawa kwa Akwilina.
6. Je vyama tofauti na CCM vinakandamizwa kufanya siasa ?!
Unapiwalaani wanaounga mkono hao mnaowaita ma beberu. Tafakari kama serikali nayo iko fair kwa watu wa kada zote. Kama wana mipango inayokandamiza wengine kwa maslahi yao ya kisiasa then hauko sawa. Tuwe na utaratibu ulio sawa kwa wote .
Kama kweli wewe unaipenda nchi yako na raia wake unatakiwa umshauri Raisi ayafanyie kazi yale yaliyo semwa na wazunguKwanza niwaambie tu kama raia lazima ulinde uhuru wa nchi yako. Kuruhusu hawa wazungu waingilie mambo ya ndani ya hawana cha kupoteza kwa lolote. Pale Libya kwa mfano walipofanikiwa kuwaingia raia baada ya kushidwa kulinda uhuru wao hadi sasa mnajua yaliyopo la sivyo tunataka kuugawa uhuru wetu.
Hii kitu inayoendelea haiwezi fanywa na wazungu iwapo kila mtanzania ataamua kulinda uhuru wa nchi.
Kuna wanasiasa ukiwaangalia kabisa hawafai hata kuingia mlango wa ikulu ama wa bungeni maana wanainajisi nchi yetu na wanashindwa kulinda uhuru wa nchi yetu kwa sasabu za njaa zao.
Baada ya kupata uhuru mwaka 1961 sasa ni zamu ya kujenga nchi. Kila mmoja anajua jinsi sasa hivi nchi yetu inajitahidi kujenga miundo mbinu ya uchumi hapa hakuna wa kupinga maana kazi inapigwa kweli kweli. Cha mshingi tujenge nchi.
Pili baada ya uchaguzi wa 2015 ifahamike kwamba ccm iligawanyika sana - Timu Lowasa na Timu Membe zilimtesa sana JK na baada ya JPM kuingia madalakani kila mmoja alijua hataiweza ccm. Ni kweli kwamba JPM amejitahi sana kwa kiasi cha kukimudu kiti cha uenyekiti ambapo JK alikuwa anapotezea bila kuchukua hatua. Sasa hivi ccm bado inapitia kwenye kipindi cha 2015 - Timu Membe na Timu Lowasa bado zinatamani zipate urais eiza kupitia wenyewe moja kwa moja ama zitumie mwamvuli wa majina ya hao wawili.
Pamoja na mapungufu ya aliyo nayo JPM lakini anatimiza yale aliyotuahidi wapiga kura wake mwaka 2015 -- Mlioshindwa subirini 2020 mje muuze sera zenu tumuache Rais atufanyie kazi. Pigeni kelele bungeni.
Naamini JPM atamilizana na Wazungu na ataendeleea naujenzi wa nchi bila kuyumbishwa.
Mungu ibariki TZ.
Sio lazima kuchangia kama huna point. Unadhani ukitumia lugha chafu kama haja ndio watu watakuwa upande wako!Alfajiri hii umetuandikia pumba tupu, itakapofika mchana sijajua ni yapi utayawasilisha.