Nawashangaa Sana masikini wanaoshabikia CCM

Nawashangaa Sana masikini wanaoshabikia CCM

Attachments

  • 1445371762820.jpg
    1445371762820.jpg
    159.2 KB · Views: 193
Utajiri ni imani.Si kila mtu ana imani hiyo.Ingekuwa kila mtu ana imani hiyo ya utajiri kusingekuwa na maskini duniani.
Usishangae mtu asiyeamini unachokiamini.Binadamu ana uhuru wa kuamini chochote yuko anayeamini Mungu ndiYe Mungu na yuko anayeamini NG`OMBE NDIYE MUNGU

umaskini wetu umepindukia, hatuna tofauti na watu wa mali bamako
 
Sasa kwa taarifa yako - wenye kuipenda CCM ni wale ambao masikini zaidi. Unaweza kumkuta mtu anagonga mlo mmoja tu kwa siku lakini ni CCM damu.

kwenye kampeni anapewa flana, masharti na kofia na buku 7
 
Nina mama mmoja ndugu yangu ni maskini lakini ccm damu, juzi kaja anaomba hela kwangu nikamwambia kaombe ofisi ya ccm, duh mke wangu aliniwakia kwa kauli hiyo ikabidi yeye ndie ampe mimi nilishaondoka hapo. Ndio mwendo huo maskini nendeni ofisi za ccm ndio mkaombe hela.

Kuna Mother huwa anapenda sana kunililia shida hasa kipindi cha Asubuhi kuwa hana hela ya kula na vitu vingne...pia ana watoto wanne afu yupo pekeake....Juzi nkakuta anamponda Lowassa Tapeli Fisadi Mwizi na Mgonjwa hawezi kumpa Kura yake....Mi nikamuuliza Mbona Raisi wenu ni bingwa wa Kudondoka Majukwaani lakini hamumsemi...!!?? Vip kuhusu Tezi Dume, pia Nkamuliza Nitajie Ufisadi ambao Lowassa Kaufanya.. Nkamuliza pia Lowasa anaumwa nini....!!?? Akashindwa kunijibu na akaanza kunichukia....mi nkaondoka zangu....cku ya 3 akamtuma mtoto wake wa pili nenda kamwambie kaka aniazime Elfu 55 nadaiwa na Vikoba....hah hah hah hah hah Guess what was de Answer
 
kuna mother huwa anapenda sana kunililia shida hasa kipindi cha asubuhi kuwa hana hela ya kula na vitu vingne...pia ana watoto wanne afu yupo pekeake....juzi nkakuta anamponda lowassa tapeli fisadi mwizi na mgonjwa hawezi kumpa kura yake....mi nikamuuliza mbona raisi wenu ni bingwa wa kudondoka majukwaani lakini hamumsemi...!!?? Vip kuhusu tezi dume, pia nkamuliza nitajie ufisadi ambao lowassa kaufanya.. Nkamuliza pia lowasa anaumwa nini....!!?? Akashindwa kunijibu na akaanza kunichukia....mi nkaondoka zangu....cku ya 3 akamtuma mtoto wake wa pili nenda kamwambie kaka aniazime elfu 55 nadaiwa na vikoba....hah hah hah hah hah guess what was de answer

aende ofisi za mafisiemu
 
Usimtolee mfano huyo aliyetelekeza mke na watoto akakimbilia kwa kimada mke wa mtu.
Huyo sio mfano bora kwenye jamii, uliza watoto wa mchepuko wake huo anawasomesha wapi?
Nyie mnadhani yule mama mwl kuamua kususa vigora ni mchezo? Hamumjui Pombe Nyie na vituko vyama!

mhmmm hadi huyu tunayemuita muadilifu kumbe nae ana michepukoo,hii umenifumbua macho mkuu
 
Hivi Watanzania tumelogwa na Nani, Tunahitaji nini kufunguliwa macho kuona Udhalimu wa CCM. Ni familia gani ya Kigogo wa ccm inaishi maisha ya kawaida isipokua ya Mwalimu Nyerere?
Nakushangaa vlevle ww kijana unaeshabikia UKAWA
 
Sielewi, mtoto wa mbowe au lowasa wanasoma shule za kata? Mbowe (chadema) kwa mabilioni wanayoamisha washawahi kujenga shule hata moja au kufanya chochote kama kuwasaidia wa Tanzania; kwa mfano kutoa scholarship kwa watoto masikini, kujenga kituo cha watoto yatima, kuwapa mikopo wa kina mama n.k vitu vidogo tu kama CSR kusaidia jamii inayowazunguka. Kama laah hawa watu wanautofauti gani na hawa CCM. Wewe hichi chama cha familia ya Mtei kimeku brainwash wenzio wanataka dola walipe madeni kutoka kwa wafadhili unadhani misaada wanapewa tu bure (hawa wanafanaya long term investment) . CCM, chadema wote wale wale na mwisho wa siku wa Tanzania 'wengi' wakifika kwenye chumba cha kupiga kura wanafikiriaga haya mambo, ndio maana wanampigia shetani wanaemfahamu au simba aliyeshiba.

Una elimu gani mkuu?
Mbowe hizo hela ni zake katafuta kwa jasho lake,iweje kumng'ang'aniza akusaidie?
Kinachoongelewa hapa ni viongozi tulionao wanavyotumia kodi zetu wananchi kwa manufaa yao badala ya kuzielekeza kwenye maendeleo kwa faida ya walipa kodi
 
Sasa kwa taarifa yako - wenye kuipenda CCM ni wale ambao masikini zaidi. Unaweza kumkuta mtu anagonga mlo mmoja tu kwa siku lakini ni CCM damu.

Hiyo ni kweli Mkuu. Pia kama kitu nimekibaini kutoka kwa watu ambao wana shida nyingi sana na hawapati huduma muhimu za kijamii kana Elimu bora, Afya na Maji safi na Salama ni kua hawajafahamu bado kua matatizo yote wanayokumbana nayo yanahusiana na Chama wanachokishabikia.
Ndio maana unakuta mtu ni hohe hahe hana uhakika wa maisha, kupata mlo hata mmoja kwa siku, anatibiwa kwenye Hospitali zisizokua na huduma za msingi pamoja na makazi duni ndio wa kwanza kuishabikia CCM.
Mfano mzuri ni huu.
 
Attachments

  • 1445436398263.jpg
    1445436398263.jpg
    39.2 KB · Views: 108
  • 1445436659323.jpg
    1445436659323.jpg
    10.4 KB · Views: 105
  • 1445436697096.jpg
    1445436697096.jpg
    10.1 KB · Views: 171
  • 1445436895105.jpg
    1445436895105.jpg
    48.3 KB · Views: 96
Hiyo ni kweli Mkuu. Pia kama kitu nimekibaini kutoka kwa watu ambao wana shida nyingi sana na hawapati huduma muhimu za kijamii kana Elimu bora, Afya na Maji safi na Salama ni kua hawajafahamu bado kua matatizo yote wanayokumbana nayo yanahusiana na Chama wanachokishabikia.

Ndio maana unakuta mtu ni hohe hahe hana uhakika wa maisha, kupata mlo hata mmoja kwa siku, anatibiwa kwenye Hospitali zisizokua na huduma za msingi pamoja na makazi duni ndio wa kwanza kuishabikia CCM.

Mfano mzuri ni huu.

Wengine hawa hapa.
 
Attachments

  • 1445437273856.jpg
    1445437273856.jpg
    11.4 KB · Views: 93
  • 1445437370186.jpg
    1445437370186.jpg
    71.8 KB · Views: 93
  • 1445437452001.jpg
    1445437452001.jpg
    8.6 KB · Views: 188
  • 1445437514674.jpg
    1445437514674.jpg
    12.3 KB · Views: 189
  • 1445437612056.jpg
    1445437612056.jpg
    27.6 KB · Views: 87
  • 1445438182111.jpg
    1445438182111.jpg
    9.1 KB · Views: 180
Wamefungwa akili zao na makufuli hata hawaoni kabisa
 
Kuna Mother huwa anapenda sana kunililia shida hasa kipindi cha Asubuhi kuwa hana hela ya kula na vitu vingne...pia ana watoto wanne afu yupo pekeake....Juzi nkakuta anamponda Lowassa Tapeli Fisadi Mwizi na Mgonjwa hawezi kumpa Kura yake....Mi nikamuuliza Mbona Raisi wenu ni bingwa wa Kudondoka Majukwaani lakini hamumsemi...!!?? Vip kuhusu Tezi Dume, pia Nkamuliza Nitajie Ufisadi ambao Lowassa Kaufanya.. Nkamuliza pia Lowasa anaumwa nini....!!?? Akashindwa kunijibu na akaanza kunichukia....mi nkaondoka zangu....cku ya 3 akamtuma mtoto wake wa pili nenda kamwambie kaka aniazime Elfu 55 nadaiwa na Vikoba....hah hah hah hah hah Guess what was de Answer

Nadhani jibu lilikuwa, nenda ofisi za ccm wakakuazime hiyo hela, wanazo nyingi mno mpaka wanagawa mamilioni kwa wasanii.
 
Na kwa mtindo huu hata mkeo atahamia CCM kama alikuwa CHADEMA, vinginevyo hutawapata wafuasi hata siku moja...!

Mke wangu ni ukawa usipime, na ndie kanishawishi kuja ukawa, kabla ya hapo hata kura nilikuwa sipigi.
 
Nina mama mmoja ndugu yangu ni maskini lakini ccm damu, juzi kaja anaomba hela kwangu nikamwambia kaombe ofisi ya ccm, duh mke wangu aliniwakia kwa kauli hiyo ikabidi yeye ndie ampe mimi nilishaondoka hapo. Ndio mwendo huo maskini nendeni ofisi za ccm ndio mkaombe hela.

Hata mimi jirani yngu anauza mkaa kila siku anapigwa vumbi na masizi ya mkaa eti ni ccm. Nanwangalia simpatii picha na juzi kapewa elfu 20 kwenye mkutano yani humwambii kitu kuhusu ccm kabisa.
 
Hivi Watanzania tumelogwa na Nani, Tunahitaji nini kufunguliwa macho kuona Udhalimu wa CCM. Ni familia gani ya Kigogo wa ccm inaishi maisha ya kawaida isipokua ya Mwalimu Nyerere?

Sijui tofauti ya CCM na CHADEMA....
 
Back
Top Bottom