Nawashangaa Sana masikini wanaoshabikia CCM

Nawashangaa Sana masikini wanaoshabikia CCM

Utajiri mzuri ni afya njema na amani. Anayekuletea hivyo mpe kura yako
 
Ukitaka kumtawala mtu mfanye masikini wa fikra. Hiki ndicho walichofanikiwa ccm.
Wananchi wamekuwa masikini mno haswa vijijini, wanahangaika kutafuta huduma za jamii ambazo ni duni kwelikweli. Lakini kwa umasikini wa fikra ndio haohao huwaelezi kitu juu ya ccm wakakuelewa.. Ubwabwa tshrt , kanga na kofia zinatosha kabisa kuwafanya wasahau matatizo yao yote .
 
it is ridiculous kuona mtoto wa kimaskini anadhalimiwa an baadh ya wahuni wa ccm afu bado anakuwa brainwashed na sera zao kimsingi CCM wanawaxploit many of these people be coz of bogusness ya waliowengi WAKE UP taka mabadiliko ya kweli ewe mtoto wa masikin
 
Nakubaliana na wewe 100%.Somehow nadhani watanzania akili zetu zimechezewa.Haiingii akilini kwamba mtu mwenye akili timamu kabisa aishabikie CCM.
Hivi Watanzania tumelogwa na Nani, Tunahitaji nini kufunguliwa macho kuona Udhalimu wa CCM. Ni familia gani ya Kigogo wa ccm inaishi maisha ya kawaida isipokua ya Mwalimu Nyerere?
 
Nakubaliana na wewe 100%.Somehow nadhani watanzania akili zetu zimechezewa.Haiingii akilini kwamba mtu mwenye akili timamu kabisa aishabikie CCM.

CHADEMA & CCM ni ma-opportunist, hakuna tofauti! Kinachobaki ni kuchagua mtu (raisi) unayedhani ni bora pasipo kuangalia chama.

Chaguo langu: HAPA NI KAZI TU!
 
Ukitaka kumtawala mtu mfanye masikini wa fikra. Hiki ndicho walichofanikiwa ccm.

Wananchi wamekuwa masikini mno haswa vijijini, wanahangaika kutafuta huduma za jamii ambazo ni duni kwelikweli. Lakini kwa umasikini wa fikra ndio haohao huwaelezi kitu juu ya ccm wakakuelewa.. Ubwabwa tshrt , kanga na kofia zinatosha kabisa kuwafanya wasahau matatizo yao yote .

Umesema ukweli kabisa.
'masikini wa fikra'
 
Hivi Watanzania tumelogwa na Nani, Tunahitaji nini kufunguliwa macho kuona Udhalimu wa CCM. Ni familia gani ya Kigogo wa ccm inaishi maisha ya kawaida isipokua ya Mwalimu Nyerere?

Yaani hata mimi nashangaa mtu amekuwa waziri mkuu mpaka leo anadai hapendi umaskini wakati jimboni kwake Monduli hakuna maendeleo lakini mazoba anayaambia ataleta maendeleo yanakubali utadhani mateja hata kumuuliza hayo maendeleo yatakuja vipi wakati kwako monduli kuna matembe na elimu duni yote yamekaa kimya kama makondoo.

Likaibuka jingine nalo kwa cheo hicho hicho nalo linalaumu CCM haijafanya kitu yote mazoba yakainuka na kuunga mkono ndiyooooooooooooo bila hata kuuliza wewe ulivyokuwa waziri mkuu kwa miaka kumi ulifanya nini ndani ya nchi yako? Na kama maamuzi yalikuwa mabya kwa nini uliendelea kubaki CCM bila kujiuzulu ili tukuamini kweli ulikuwa unakerwa na matendo mabaya ya CCM makondoo hayana hata hoja ya kuuliza yanakwenda tu na kushangilia kila kitu kinachosemwa na wanamazingaombwe mtu na ndugu yake.

Kwa hiyo unaposhangaa hilo mimi nakushangaa wewe na kukuona ni mpumbavu kuliko hata mataahira wa milembe kwani wao hawajitambui lakini wewe na usomi wako una buruzwa kama mbwa huna hata aibu kupost upumbavu wako JF
 
Kwani ni familia gani ya kigogo wa UKAWA anaishi maisha ya kawaida kama nyie Mazombie

Hao siyo mazombie tu bali mapumbavu na malofa waliopindukia yanabuluzwa kwenda kuchinjwa na hayajui kama yanapelekwa machinjioni pumbavu kabisa tukiyaachia yataangamizwa inabidi tufanya kazi ya ziada kuondoa hiyo nusu kaputi aliyowatia EDWARD
 
Mtu ambaye anaikubali CCM kwangu naamini kuna tatizo kwenye akili yake.
 
Mtu ambaye anaikubali CCM kwangu naamini kuna tatizo kwenye akili yake.
Inawezekana akawa nazo akili lakini hazina uwezo wa kupambanua mambo kutokana na elimu eidha kuwa ndogo, duni au hakuna kabisa!! Ili kuweza kupambana na maadui maradhi, ufukara/umasikini na ujinga unahitaji nyenzo moja kubwa na muhimu sana...ELIMU BORA. Pamoja na ahadi zote nzuri zinazotelewa na wagombea wa nafasi mbali mbali za uongozi wa Taifa letu, kama elimu haitaboreshwa ni kazi bure tu! Kwa hiyo kitu cha msingi sana kwetu kama Taifa ni ELIMU...ELIMU...ELIMU ILIYO BORA KWANZA.
 
Back
Top Bottom