Hivi Watanzania tumelogwa na Nani, Tunahitaji nini kufunguliwa macho kuona Udhalimu wa CCM. Ni familia gani ya Kigogo wa ccm inaishi maisha ya kawaida isipokua ya Mwalimu Nyerere?
CCM kirefu chake kitabia ni Chama Cha Matajiri
Maskini wanajikomba tu na wasipostuka mapema wataendelea kuwa maskini daima!
Au nitajie mtoto wa kigogo anaeye soma shule ya kataaaa
Usimtolee mfano huyo aliyetelekeza mke na watoto akakimbilia kwa kimada mke wa mtu.Mtoto wa MAGUFULI anasoma sekondari ya kata
Nina mama mmoja ndugu yangu ni maskini lakini ccm damu, juzi kaja anaomba hela kwangu nikamwambia kaombe ofisi ya ccm, duh mke wangu aliniwakia kwa kauli hiyo ikabidi yeye ndie ampe mimi nilishaondoka hapo. Ndio mwendo huo maskini nendeni ofisi za ccm ndio mkaombe hela.
Chadema ni genge hatari.
Bora ccm.
Wewe Unashinda Kijiweni Mtaani Kwenu Uchafu Kibao Unashindwa Kutake That Opportunity Kujiajiri Kwa Kukusanya Takataka Ukapa Msosi Unalalamika Maskini.
Af Unailalamikia Ccm Kwa Uvivu Wako Wa Kufikirisha Ubongo Na Kukamata Fursa.Unadhani Ukawa Itakuja Hapo Kukupa Pesa
Acha Ujinga.
Hivi Watanzania tumelogwa na Nani, Tunahitaji nini kufunguliwa macho kuona Udhalimu wa CCM. Ni familia gani ya Kigogo wa ccm inaishi maisha ya kawaida isipokua ya Mwalimu Nyerere?
Nina mama mmoja ndugu yangu ni maskini lakini ccm damu, juzi kaja anaomba hela kwangu nikamwambia kaombe ofisi ya ccm, duh mke wangu aliniwakia kwa kauli hiyo ikabidi yeye ndie ampe mimi nilishaondoka hapo. Ndio mwendo huo maskini nendeni ofisi za ccm ndio mkaombe hela.
Wanakugonga wenzako!