EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,702
*Nawasalimia
WASICHANA na WANAWAKE
wale mnao GOOGLE chakula na kupost mitandaoni ili muonekane ni wakishua kumbe wa MBAGALA,*_
_*Nawasalimia WANAWAKE na WASICHANA weupe
mitandaoni ila mkiwa kwenu WEUSI,*_
_*Nawasalimia WASICHANA Ninao watumia TEXT wanazijibu kwa NYODO mfano
P,K,O,S!! Mimi nilishaoa 
_*Nawasalimia WASICHANA wale Wanao kuomba URAFIKI FB halafu ukianzisha Chating wanakuuliza wew NANI

Mimi ni Nyani kutoka Mikumi,*_
_*Nawasalimia WASICHANA wale Wanaopst picha ukiccoment Anareply ukimfata inbox Anauchuna ila ukitaja helaa Anakujibu kama UMEME WA LUKU Hamjambo jamani


*
_*Nawasalimia Wale WASICHANA mnaonichunia MITANDAONI ila Tukikutana MTAANI Mnaniita ita kama mnanijua

PLEASE NIPENI BREAK,*_
_*Nawasalimia WASICHANA Ambao ni wacha MUNGU mitandaoni ila nje Ni wauza MIILI, Salamu Ziwafikie

*_
_*Nawasalimia wale WASICHANA mnaosema hakuna TRUE LOVE mitandaoni hali ya kuwa Mkiombwa No za Simu Mnatoa, KARIBUNI CHAI ya usiku

*_
_*Nawasalimia Wale WASICHANA mliotongozwa MTANDAONI nampaka sasa hamjawahi kuonana na hao waliowatongoza,nawapa hi kwa hisani ya Pierre Liquid
_*Nawasalimia wale WASICHANA woteee mliokimbia SHULE ila MTANDAONI wameandika wamesomea UDSM, IFM, CBE, SAUT NA UDOM nawakumbusha NAWAKUMBUSHA, MUNGU ANAWAONA*_



_*Nawasalimia wale WASICHANA na WANAWAKE ukichart nao wanakujibu kwa KINGEREZA ila ukimtukana Anakujibu kwa KISWAHILI


Muoneni Ras Simba*_
_*Nawasalimia wale WASICHANA mnaojiita CUTE, PRINCESS PREATY, CANDY kumbe mtaani unaitwa Bupe, Sikujua, Havinitishi, Ngolo

WAZAZI WENU WANAWATAFUTA,*_
_*Nawasalimu WASICHANA mnao TONGOZWA mtandaoni kisha mnasema Mtumiwe NAULI, Badilisheni Mbinu VYUMA VIMEKAZA!!*,shenzi zenu
Kuna wasichana na WANAWAKE watasoma salamu hizi lakin watatoka bila kukoment hapa,acha roho mbaya wewe
,nakuona tu .
WASICHANA na WANAWAKE
wale mnao GOOGLE chakula na kupost mitandaoni ili muonekane ni wakishua kumbe wa MBAGALA,*__*Nawasalimia WANAWAKE na WASICHANA weupe
mitandaoni ila mkiwa kwenu WEUSI,*__*Nawasalimia WASICHANA Ninao watumia TEXT wanazijibu kwa NYODO mfano
P,K,O,S!! Mimi nilishaoa 
_*Nawasalimia WASICHANA wale Wanao kuomba URAFIKI FB halafu ukianzisha Chating wanakuuliza wew NANI


Mimi ni Nyani kutoka Mikumi,*__*Nawasalimia WASICHANA wale Wanaopst picha ukiccoment Anareply ukimfata inbox Anauchuna ila ukitaja helaa Anakujibu kama UMEME WA LUKU Hamjambo jamani



*_*Nawasalimia Wale WASICHANA mnaonichunia MITANDAONI ila Tukikutana MTAANI Mnaniita ita kama mnanijua


PLEASE NIPENI BREAK,*__*Nawasalimia WASICHANA Ambao ni wacha MUNGU mitandaoni ila nje Ni wauza MIILI, Salamu Ziwafikie


*__*Nawasalimia wale WASICHANA mnaosema hakuna TRUE LOVE mitandaoni hali ya kuwa Mkiombwa No za Simu Mnatoa, KARIBUNI CHAI ya usiku


*__*Nawasalimia Wale WASICHANA mliotongozwa MTANDAONI nampaka sasa hamjawahi kuonana na hao waliowatongoza,nawapa hi kwa hisani ya Pierre Liquid

_*Nawasalimia wale WASICHANA woteee mliokimbia SHULE ila MTANDAONI wameandika wamesomea UDSM, IFM, CBE, SAUT NA UDOM nawakumbusha NAWAKUMBUSHA, MUNGU ANAWAONA*_




_*Nawasalimia wale WASICHANA na WANAWAKE ukichart nao wanakujibu kwa KINGEREZA ila ukimtukana Anakujibu kwa KISWAHILI



Muoneni Ras Simba*__*Nawasalimia wale WASICHANA mnaojiita CUTE, PRINCESS PREATY, CANDY kumbe mtaani unaitwa Bupe, Sikujua, Havinitishi, Ngolo


WAZAZI WENU WANAWATAFUTA,*__*Nawasalimu WASICHANA mnao TONGOZWA mtandaoni kisha mnasema Mtumiwe NAULI, Badilisheni Mbinu VYUMA VIMEKAZA!!*,shenzi zenu

Kuna wasichana na WANAWAKE watasoma salamu hizi lakin watatoka bila kukoment hapa,acha roho mbaya wewe

,nakuona tu .

