nawasalimu habari zenu,great thinkers?

nawasalimu habari zenu,great thinkers?

sabas mamiro

Member
Joined
Jan 14, 2012
Posts
8
Reaction score
0
naitwa sabas mamiro natokea arusha ni mhitimu wa chuo kikuu MUCCOBS moshi,ningependa niwafahamu wote hasa wanaotokea arusha na kama kunakiongozi wetu wa arusha jf nimfahamu ajue na mimi nimo.ahsanteni!
 
Karibu sana jamvini. Watafute Preta au Pakajimmy wao nadhani ndio wadau wa Arusha!
 
Back
Top Bottom