Ni jambo jema sana... Hakuna kitu kikubwa kama upendoI wish siku moja niwaalike kwangu wote tupate japo lunch
Hii coment inamfaa sana huyu mh wetuNi jambo jema sana... Hakuna kitu kikubwa kama upendo
Upendo haubagui
Upendo humjenga
Upendo huunganisha
Upendo huponya majeraha
Upendo huzima visasi na kusamehe
Umenena mkuuHii coment inamfaa sana huyu mh wetu
Mpelekee kimya kimya [emoji23][emoji23][emoji23]Hii coment inamfaa sana huyu mh wetu
Haahaa wee unataka ugali wangu apewe mwingine[emoji23][emoji23]Mpelekee kimya kimya [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 huwa nTaman nijue age yake...dahAisee, unampenda mpaka yule mtibuaji matusi mengi mwenye jina la dawa?
Una moyo mkuu.
😂😂😂👊Ngoja tumalize kwanza ile party ya December.
Then tutakuja huko. Ila usalama uwepo kwetu.
Tusijefikia kwenye roli
AmenUmenena mkuu
@bak at last you are here again.. Been missed you bro... Karibu sana
@bak at last you are here again.. Been missed you bro... Karibu sana