Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,588
- 28,755
habari zenu...
Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua
kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.
wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo
hayaendi.
trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking
about.
NB; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...
habari zenu...
Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.
wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi.
trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking about.

Hakuna kama sisi warabu we tujaribu tu, we huoni wanawake wakisukuma lazima wazae na warabu ndo wanaona sifa :A S shade:
Yap ni kweli wasukumua ni watu wapole sana by nature na hawapendi makuu...Japo tabia yao ya upole hufanya watu wakawaona washamba na ku-take advantage ila ukimpata msukuma halafu ameenda shule dah mbona utapenda....
Tatizo kubwa la wasukuma ni kuishi African Family life sana yaani wanapenda sana kuendekeza udugu hata na watu wa mbali ilimradi wanakaa kijiji kimoja au wanaundugu wa kuunganisha kwa gundi, hapo hupanua wigo wa utegemezi, familia kuwa kubwa sana na mambo kama hayo ila kama ukiwza kuishi na hii challenge ni watu wzuri sana yaani utapenda.....
Mimi binafsi ni Msukuma, lakini nina wasiwasi na ulichoandika hapo juu. Jaribu kufanya uchunguzi mkubwa katika hili; wewe umefanya uchunguzi mdogo juu ya hili!
sidhani kama ni ubwege
Ha ha ha ni kweli..Ni tabia ya wasukuma sana hii..atkutajia fulani ni dada yangu nkwenda kumsalimia mjini ukidadisi unakuta hawana udugu ispokua wanatokea kitongoji kimoja au kaka zao walisoma shule moja ...ila hii life kwao ni normal sana japo wanapokuja kuchangamana na makabila mengine lazima tafrani itokeeekwa undugu hata wa kuvuta na kamba umelenga...