Kazwala mkuu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,034
- 2,247
Miss Queen huwapendi? Tangu utoto wangu mpaka leo popote nitakapoishi kama hakuna paka sijisikii vema kabisa.Mmhhh
Rebeca unaonyesha huwapendi nyau wewe!!mnhhh
Rebeca unaonyesha huwapendi nyau wewe!!
View attachment 449669 'sista duu na brazameni' ktk ulimwengu wa paka.
Dume akikomaa sana kuna muda anasepa home hata wiki mbili then anarudi mwenyewe. Sijui huwa wanaenda wapiNiliokota paka akiwa mdogo nikampeleka nyumbani, baada ya kukua nikajua kumbe jike.
Madume yakawa hayakauki na zile kelele zao wanazopiga wakiwa kwenye heat utasema mtoto mchanga.
Yule paka alikua anazaa kwa frequency ya mwaka mmoja mara mbili halafu watoto wakifika umri fulani anawatorosha, mwisho na yeye akatoroka.
Nimeamua nikifuga paka awe dume, labda yale hayatojirudia.
Paka ni miongoni mwa wanyama wasafi sana na wenye kujitambua na pia wenye kuelewa jambo haraka sana, hata mkiwa watu ishirini katika nyumba, ukimchukia tu ameshakujua na hawezi kuwa karibu na wewe.Lol.
Naogopa hata avatar yako ngoja nimtafute Mshana usiku wa Leo anilindeMiss Queen huwapendi? Tangu utoto wangu mpaka leo popote nitakapoishi kama hakuna paka sijisikii vema kabisa.
Ninae wangu ni dume na nilimfundisha mengi tangu utoto wake kwanza haibi mpaka umpe, pili hata kama nyumba imefungwa hakuna watu hatokwenda kwa jirani na nikirudi ananifuata kuanzia mbali kwa upendo mkubwa.Niliokota paka akiwa mdogo nikampeleka nyumbani, baada ya kukua nikajua kumbe jike.
Madume yakawa hayakauki na zile kelele zao wanazopiga wakiwa kwenye heat utasema mtoto mchanga.
Yule paka alikua anazaa kwa frequency ya mwaka mmoja mara mbili halafu watoto wakifika umri fulani anawatorosha, mwisho na yeye akatoroka.
Nimeamua nikifuga paka awe dume, labda yale hayatojirudia.
Ha ha ha ha ha avatar nzuri nzuri siziweki zisije zikakushawishi.Naogopa hata avatar yako ngoja nimtafute Mshana usiku wa Leo anilinde
Kuna mtu aliwahi kuniambia hii kitu, itakua kakutana na jike kutoka Tanga limemtekaDume akikomaa sana kuna muda anasepa home hata wiki mbili then anarudi mwenyewe. Sijui huwa wanaenda wapi
Hahaha ni kweli ila pale anakwenda kutafuta michepuko, na kama kukiwa na dume kubwa zaidi yake anaweza akapigwa na kupotea kabisa.Dume akikomaa sana kuna muda anasepa home hata wiki mbili then anarudi mwenyewe. Sijui huwa wanaenda wapi
Safi sana...wanakula life!View attachment 449669 'sista duu na brazameni' ktk ulimwengu wa paka.
Mimi yule nilimuweza kwenye chakula kama hakipo kwenye sahani yake hali, ukitupa chini hali.Ninae wangu ni dume na nilimfundisha mengi tangu utoto wake kwanza haibi mpaka umpe, pili hata kama nyumba imefungwa hakuna watu hatokwenda kwa jirani na nikirudi ananifuata kuanzia mbali kwa upendo mkubwa.
Katika viumbe vinavyo endekeza mapenzi ni paka, ukimuweka dume sehemu ambayo hakuna mademu anaweza akahamia mtaa wa pili kurekebisha.Kuna mtu aliwahi kuniambia hii kitu, itakua kakutana na jike kutoka Tanga limemteka