rafikimkweli
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 349
- 121
Wale wanaoitwa vimodo, ehee hao sasa, yaani nikiwaona tu huwa roho yangu inasuuzika.
Napenda jinsi walivyo wembaba kwa juu halafu vinyama kidogo kiunoni, vimejaa kwenye hipsi zao kutengeneza umbo zuri la kuvutia..
Miguu yao imejaa jaa kidogo si minene sana ila kuna vijinyama kwa kiasi chake...
sikuhizi wamejua kuiweka miili yao ndani ya mavazi yanayotuonesha maumbo yao basi mimi zile shepu zao tu , wananikamata kweli kweli..
Sifa kuu walionao hawa mabinti wembamba ni usafi, wao ni extra smart ...hawapendi uchafu. nawapenda kwa hilo maana na mimi napenda usafi..ila ni watu wanaopenda sana matumizi makubwa ya pesa na starehe..
Wakipenda wamependa na wakiamua kuachana na wewe wameamua kweli..maamuzi yao huwa ya kushtukiza na magumu sana...wana roho ya kukosa huruma pindi wakiamua kukubwaga..
Ingawa huo ndio udhaifu wao ila bado nawapenda...
Kwenu wote vimodo, nawapenda jamani..
mkuu wewe kupenda unatafsiri kama ngono au??ukimwi unaua
self expression you can as well do the samewachukue basi sasa unatumbia ili iweje
wao pia wananipenda, maana nadate wote sampuli hiii...niko type ya wanaopendwa na watu kama hawaNa we ukoje ???
Wamekusikia, ila sijui kama wao watakupenda wewe! wawekee picha yako
wao pia wananipenda, maana nadate wote sampuli hiii...niko type ya wanaopendwa na watu kama hawa
self expression you can as well do the same
Wale wanaoitwa vimodo, ehee hao sasa, yaani nikiwaona tu huwa roho yangu inasuuzika.
Napenda jinsi walivyo wembaba kwa juu halafu vinyama kidogo kiunoni, vimejaa kwenye hipsi zao kutengeneza umbo zuri la kuvutia..
Miguu yao imejaa jaa kidogo si minene sana ila kuna vijinyama kwa kiasi chake...
sikuhizi wamejua kuiweka miili yao ndani ya mavazi yanayotuonesha maumbo yao basi mimi zile shepu zao tu , wananikamata kweli kweli..
Sifa kuu walionao hawa mabinti wembamba ni usafi, wao ni extra smart ...hawapendi uchafu. nawapenda kwa hilo maana na mimi napenda usafi..ila ni watu wanaopenda sana matumizi makubwa ya pesa na starehe..
Wakipenda wamependa na wakiamua kuachana na wewe wameamua kweli..maamuzi yao huwa ya kushtukiza na magumu sana...wana roho ya kukosa huruma pindi wakiamua kukubwaga..
Ingawa huo ndio udhaifu wao ila bado nawapenda...
Kwenu wote vimodo, nawapenda jamani..
mkuu kwani wewe ukimwi unautafsiri kwenye ngono tumkuu wewe kupenda unatafsiri kama ngono au??