SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,117
- 8,096
Jamani mi nawapenda mabinti wa hi imani fulani ni wasafi wakienda msalani wanajisafisha kwa maji, wana amini kuwa kulala na janaba ni dhambi na kinyaa hivyo wanajitahidi kuwa wasafi muda wote wanatusaidia sana sie tunaopenda kwenda chumvini kwani hatukutani na harufu kali, mnapokuwa eneo la tukio huwa wanazana muhimu kuhakikisha matandiko haya chafuki na hata yakichafuka basi huwa wanafanya namna ili msilalie uchafu
Unajua madhara ya kiafya unayoweza kukumbana nayo kwa kupenda kwenda chumvini, au unafanya hayo kwa kuiga iga tuuuuu....?