Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,220
- 17,597
Doh
Huku sijaja muda ati nina mwaka
Hamjambo?
Nawapenda
Anaenipenda pia aweke comment
Huku sijaja muda ati nina mwaka
Hamjambo?
Nawapenda
Anaenipenda pia aweke comment
Wahuni walipita nayo kitambo sanaWe Ni bikra....???
Hahaha akuelekezee kule kibra sio?😍 karibu tena
Ilishapotea na mkata bustani wa kwao aliibandua kwenye mauaWe Ni bikra....???
Aiseee! hili limeniuma sana..... awamu hii nimeumia sana.Wahuni walipita nayo kitambo sana
Ulikuwepo.... kipindi wanaibandua?Ilishapotea na mkata bustani wa kwao aliibandua kwenye maua
Wewe endelea kuumia, sisi tuko busy na GT 6 sasaAiseee! hili limeniuma sana..... awamu hii nimeumia sana.
Bro toa watu vifungoni 🤣
GT 6 ndio nini mkuu?Wewe endelea kuumia, sisi tuko busy na GT 6 sasa
Bro toa watu vifungoni 🤣
Grand Theft Auto (video games)GT 6 ndio nini mkuu?
Mara ya mwisho kucheza magame hata sikumbuki yani..... nikichoka kusoma vitabu. naingia jf kutype sinaga mda na magameGrand Theft Auto (video games)