Nawaota wanawake wenzangu kimahaba

Nawaota wanawake wenzangu kimahaba

Fanya kitu kimoja ili tujue source kwanza ndipo tumshauri afanye nini fungua hizo chati copy hafu wakati una paste zi edit kwanza uondoe id yake tuu ili tuweze kumwambia nini cha kufanya kuepusha kufikia huko panapomuita kama atafanya hivo itakuwa ni rahisi maana hapo naona story tuu mwanzo haueleweki na kama amekuamini wewe anajua utamtunzia heshima 100% so msaidie kama umedhamiria kufanya halafu ni text no yako niliipoteza masai dada oky nadhani unanikumbuka
 
mkuu uko @ higher risk uyo ana kumendea akuvue pichu sema ana jizungusha ukizubaaa tyu tayari kesha kucheketua...!!!
 
Well hii kitu si ya kudharau. Kuna mawili either anakutamani ila anashindwa kukuambia maana mashuga mami pia wapo wengi au she is a les so now she wants to reformat au anataka kupata wenzake wa tabia hiyo she has to b open if she trusts the husband aongee nae amweleze anachokihisi ili aweze kusaidiwa
 
masai dada

Hii haina tofauti na wanaume wanaota wapiga mgegedo na wasichana usiku kila siku inawezekana ni ametupiwa jini kama sio jina basi ni mambo ya mnajimu namshauri kama anamjua Maalimu yeyeto wale wa mambo ya nyota aende akamuone kama ikishindikana huko basi hiyo ni spirtual aende private kwa wachungaji wakiroho mana linaloshindikana kwa binadamu kwa mungu linawezekana
 
Ndoto ni kiashirio cha yale yanayotendeka ktk ulimwengu wa roho. Kuota unafanya ngono kwa namna yoyote ile ni kuwa una spiritual agent anaecontrol sexuality yako. Mambo hayo yanaimpact kubwa ktk maisha yetu ya rohoni, mwilini na pia mahusiano yetu ktk jamii huathirika vibaya kwa njia moja au nyingine; kwamba unaweza ukawa na mafarakano yasiyoeleweka kuanzia nyumbani, kazini hadi mtaani. Hvyo kama huyu mama hajawai kufanya hvyo amshukuru Mungu na aingie ktk toba kwa kufanya maombi ya kufunga japo kwa siku 3 hadi 7. Kwa kuwa jambo hlo lipo kiroho zaidi bs unapaswa kulitatua kiroho kwa kudumu ktk maombi. Nafaham historia ya mtu aliekuwa na tatizo kama lako, alianza kuota, akaanza kushika shika wenzie matiti na makalio na aliponea chupuchupu kuwa msagaji ila alipata msaada wa kiroho na alipona.
 
Huyu dada anajini linaitwa jini mahaba ambalo huvuruga nyumba yaani ndoa.
Ushauri
Aende kwenye Maombi I
 
mkuu uko @ higher risk uyo ana kumendea akuvue pichu sema ana jizungusha ukizubaaa tyu tayari kesha kucheketua...!!!

hapana
sio hivyo ni mtu alieko kwenye majuto na msongo wa mawazo
 
Ndoto ni kiashirio cha yale yanayotendeka ktk ulimwengu wa roho. Kuota unafanya ngono kwa namna yoyote ile ni kuwa una spiritual agent anaecontrol sexuality yako. Mambo hayo yanaimpact kubwa ktk maisha yetu ya rohoni, mwilini na pia mahusiano yetu ktk jamii huathirika vibaya kwa njia moja au nyingine; kwamba unaweza ukawa na mafarakano yasiyoeleweka kuanzia nyumbani, kazini hadi mtaani. Hvyo kama huyu mama hajawai kufanya hvyo amshukuru Mungu na aingie ktk toba kwa kufanya maombi ya kufunga japo kwa siku 3 hadi 7. Kwa kuwa jambo hlo lipo kiroho zaidi bs unapaswa kulitatua kiroho kwa kudumu ktk maombi. Nafaham historia ya mtu aliekuwa na tatizo kama lako, alianza kuota, akaanza kushika shika wenzie matiti na makalio na aliponea chupuchupu kuwa msagaji ila alipata msaada wa kiroho na alipona.

naona wadau wengi wamependekeza maombi
hivi maombi mnayoyaongelea ni kwenye hizi kanisa za kina gwajima?????
 
Hahah umenichekesha! Imani ianzie moyoni mwa mtu ajiombee ndio akaombewe, nakuwa makini na makanisa ya kibiashara unlessotherwise ataongezewa matatzo juu ya matatzo.
naona wadau wengi wamependekeza maombi
hivi maombi mnayoyaongelea ni kwenye hizi kanisa za kina gwajima?????
 
siwez kuwa lb napenda sana black huge cocks

how will i just opt usagaji for them...??????
wewe katika starehe zote naona kudo ipo namba 1 hivi ninashangaa kwa kweli mtu asiefanya anaridhika na ni i dunia hii

Aiseeeeh!
 
Mmmmmmhhhhhh..!huuuhh Great
 
Back
Top Bottom