masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,800
- 16,823
Kutoka pm,
Mdada: Mambo masai dada mimi nina tatizo lilianza zamani siwezi kulala na mwanamke mwenzangu wala kumtazama sana akiwa uchi, iyo hali sikuielewa mpaka nilivyoanza kuwaota na katika hali isiyo ya kawaida mume wangu kuna siku aliniuliza mbona unapenda kuwasifia sana wanawake wenzio,inatokea tu nawasifia ile siku nilikosa jibu na kuanzia ile siku nilianza kuitambua kwamba hii hali ni ya hatari (NIMEAMISHA STORY KUTOKA PM SIWEZ SCREN SHOT WALA KUILETA KAMA ILIVYO)
masai dada: Duh pole sana jaribu kupost utapata majibu mengi,mimi ki ukweli hili tatizo sijawahi lishuhudia kwa mtu kiasi cha kujua alitatuaje anyways unampenda mume wako na una hisia nae?
Mdada: nampenda sana na sitaki kufanya chochote kibaya na kuhusu kupost hapana hii id anaijua mume wangu naomba nisaidie wewe.
masai dada: Unanipa mtihani maana siwezi screenshot id yako itatokea ina maana mpaka niandike?
mdada: Nakuomba tafadhali
masai dada: Nikipata muda nitafanya hivyo
mdada: Nitashukuru sana yaani sijui nisemeje......
Hi conversation tuliifanya kama wiki 3 sasa imepita ila nilikosa muda nikamwambia nikipata nitamuwekea, leo kanikumbusha kwa hiyo yupo online atakua anafatilia majibu yake.