Aisee safi sanaaa, sasa inatakiwa kila siku uangalie soko linaendaje kwenye hiyo. angalie bidding and offering ipoje. Itakupa picha ya bei ambayo itakuwa fair kulingana na utavosoma soko. Ila so far stakes are higher
Wee endelea kushangaa na kutoa macho while people are slaying their stakes earlyDaah
NMB ilikudondosha vip? unaweza ku share experience yako hapa. Sasa ukisema ilikudondosha bila maelezo hautaelewekaAisee toka NMB inidondoshe nilitulia kwanza ila hii naiona kama fursa wallah. Ngoja nipige mahesabu yangu nijipange upya.
Kuna mdau hapa siikumbuki ID yake vizuri huwa kuna thread alielezea vizuri sanaHivi nikitaka kununua hisa nafuata hatua gani?!! Maana hii mijamaa nimeiuliza kwa email ikanikaushia.
Kwani ID yangu inashida gani mkuu?Tatizo ID tu ila una mawazo fresh
Poa poa....so hata habari za ipo ulizipata humo sio ??DSE wao wenyewe ni kampuni na ndo walifanya IPO ya kampuni yao. Kwa hiyo hizo hisa ni za DSE. Umenisoma hapo? Hata sahiv embu jaribu kuingia kwenye web ya DSE halafu nenda kwenye market report utaiona
Ila usipate shida.. kuna watu wanaitwa brokers. Tafuta wale wadogo ukienda watakuelewesha vizuri. Nenda posta wapo kibao. au google utapata adress zaoHivi nikitaka kununua hisa nafuata hatua gani?!! Maana hii mijamaa nimeiuliza kwa email ikanikaushia.
Mbona zilitangazwa public sana mkuu.. yaani karibu mwezi mzima.Poa poa....so hata habari za ipo ulizipata humo sio ??
Aisee hongera sana mkuu.. sasa uwe unafuatilia soko linakwendaje. Coz there may be time to abandon ship you should be quick.Ni kweli..wengine tulikopa....juzi nilipigiwa simu sikuamini...ila usiumie...next time jitahidi hata kukopa,
Inatokea sana hiyo mkuu.. lakini siku ingine kabla ya kununua hisa tenga mda wa kusoma zile prospectus na ukazielewa. Zinakuwaga na information zote sema watu wanazi ignore na wanaenda kichwa kichwa.. mwisho wa siku ndo hivoNikisikia mambo ya Hisa inanikumbusha NICOL, hadi leo sijui hatima yake......INANIUMA SANA.
Mbona zilitangazwa public sana mkuu.. yaani karibu mwezi mzima.
Mbona mkuu una potential hivo.. halafu unaachia opportunity inakupita kirahisi hivo? Halafu embu nieleweshe vizuri za over the couter inakuwajeLike u said wakat mwingine tunapitwa na mambo mazuri sabab ya woga, hela tumewekeza kwingine plus kuchukulia mambo ki rahisi.
Na ufahamu na hzo issue nimepiga ma chuo (investment analysis & portfolio mgt). I understand how its like to miss a shot.
Kuna zingine wana trade over the counter....wanapiga sanaa.
Over the counter ni ile wana trade stocks off the exchange....sumtyms thru a network of brokers or agents. Ni unregulated ni huwa kwa makubaliano flan.Mbona mkuu una potential hivo.. halafu unaachia opportunity inakupita kirahisi hivo? Halafu embu nieleweshe vizuri za over the couter inakuwaje
On my side, i saw the target but i didn't have a bullet to trigger a shot and no option. SadLike u said wakat mwingine tunapitwa na mambo mazuri sabab ya woga, hela tumewekeza kwingine plus kuchukulia mambo ki rahisi.
Na ufahamu na hzo issue nimepiga ma chuo (investment analysis & portfolio mgt). I understand how its like to miss a shot.
Kuna zingine wana trade over the counter....wanapiga sanaa.
Hiyo definition naielewa sema how inaweza kuapply ndo hiwa sielewi. I know its trading outside the exchange but practicability yake siielewi maana kwa kweli.Over the counter ni ile wana trade stocks off the exchange....sumtyms thru a network of brokers or agents. Ni unregulated ni huwa kwa makubaliano flan.
I have dreams of being a stock broker sema it needs a significant amount of capital.
No hurry in Africa bro. Wala hatuja chelewa trust me. Keep pushing.On my side, i saw the target but i didn't have a bullet to trigger a shot and no option. Sad
Yah ni kweli lakiniNo hurry in Africa bro. Wala hatuja chelewa trust me. Keep pushing.
U need to kno or have a concept onYah ni kweli lakini
We kwani umesomea bachelor gani? b com? na masters umesoma? Itabidi nifanye kuvitafuta hivo vitabu nizidi kujinoa na mimiU need to kno or have a concept on
1. Financial Risk Management
2. Investment Analysis & Portfolio Management
3. Financial and Capital Markets
4. Corporate Finance
Kuna vitabu vyake (Kimoja si chini ya £ 50 ) vinakupa somo from scratch ni uwe na juhudi ya kujiongeza kuna numbers nyingi tu ila kikubwa ni kuelewa. Its a wide field man trust me hata nlivyo graduate chuo kuna mengi sanaa still ya kujifunza.
Instruments sio hisa tu. Kuna nyingi tu unaweza invest i.e. treasury bills, options, future, swaps, certificate of deposits etc.
Ni uwanja mpana sanaa. U cant learn overnight. Kila siku utajiona bado hujui kitu.