jeBaada ya kumaliza shule nilimpa girlfriend wangu mimba,baadae tulitengana nikamuacha akiwa na mimba ya miezi 7 mm nikaenda masomoni nchini kenya na yeye baadae alitoka kuja dsm kwa dadake,toka hapo tulipotezana,akiwa kwa dadake dar alijifungua mtoto wa kike baada ya kujifungua alikaa kwa mda wa miaka 3 akatokea jamaa mmoja akamuoa na yule mtoto,mwaka jana kwa mara ya kwanza alinipigia cm (cjui namba alipata wapi) akiniambia unajua kama nilikuwa na mwanao?nikamjibu najua,alimueleza na mtoto ukweli wote na kumpa no yangu toka hapo mtoto ananilalamikia anavyoteswa,mama yake alifanya mpango akamtoa mtoto na kumpakiza kwenye gari toka arusha kuja kwangu dar nae akaja tukaandikishana mahakamani kwamba amenikabidhi mtoto(kumbuka alimtoa bila mwanamme kujua)akamwacha mtoto kwangu yeye akarudi arusha kwa mumewe mimi nikamuingiza mtoto shule(yuko form 2),alivyofika kwa mumewe akaanza kumtisha kwamba atamkata mapanga asiporudisha mtoto,mwanamke akanipigia cm kunibembeleza nimrudishie mtoto ili anusuru ndoa yake,nilivyo mwambia mtoto kurudi alikataa kata kata kwamba amechoka na manyanyaso na hawezi kurudi,nilmdanganya kwamba aende atarudi baada ya mwezi toka alivyoenda ananipigia cm akilia na kulalamika kwamba yeye anataka aje kwa baba yake yani kwangu.je nifanye nini?
mtoto ana miaka 16
kwa kuwa mlikabidhiana mtoto kisheria haukutakiwa kumwachia tena,
kweli lazima kuna gharama zimetumika kumtunza mpaka hapo alipofikia sasa na ulitakiwa uzilipe
waambie wazazi wako kama wapo hai washughulikie hiyo issue, vinginevyo utakuwa haumtendei mtoto haki.
Baada ya kumaliza shule nilimpa girlfriend wangu mimba,baadae tulitengana nikamuacha akiwa na mimba ya miezi 7 mm nikaenda masomoni nchini kenya na yeye baadae alitoka kuja dsm kwa dadake,toka hapo tulipotezana,akiwa kwa dadake dar alijifungua mtoto wa kike baada ya kujifungua alikaa kwa mda wa miaka 3 akatokea jamaa mmoja akamuoa na yule mtoto,mwaka jana kwa mara ya kwanza alinipigia cm (cjui namba alipata wapi) akiniambia unajua kama nilikuwa na mwanao?nikamjibu najua,alimueleza na mtoto ukweli wote na kumpa no yangu toka hapo mtoto ananilalamikia anavyoteswa,mama yake alifanya mpango akamtoa mtoto na kumpakiza kwenye gari toka arusha kuja kwangu dar nae akaja tukaandikishana mahakamani kwamba amenikabidhi mtoto(kumbuka alimtoa bila mwanamme kujua)akamwacha mtoto kwangu yeye akarudi arusha kwa mumewe mimi nikamuingiza mtoto shule(yuko form 2),alivyofika kwa mumewe akaanza kumtisha kwamba atamkata mapanga asiporudisha mtoto,mwanamke akanipigia cm kunibembeleza nimrudishie mtoto ili anusuru ndoa yake,nilivyo mwambia mtoto kurudi alikataa kata kata kwamba amechoka na manyanyaso na hawezi kurudi,nilmdanganya kwamba aende atarudi baada ya mwezi toka alivyoenda ananipigia cm akilia na kulalamika kwamba yeye anataka aje kwa baba yake yani kwangu.je nifanye nini?
mtoto ana miaka 16
huyo baba au anataka kumbaka? ..ngoja ampe mimba huyo mume mwenzio la utakoma
kwani huko hajazaa na huyo mume wake mpaka jamaa ang'ang'anie huyo mtoto wako? au jamaa ana tabia chafu anafanya kwa mwanao ebu peleleza
Kaka, mtoto wake si wako. Kwa maelezo yako huyo mwana mke kaolewa na huyo jamaa akiwa na huyo mtoto ingawa si kigezo sahihi kwani upo uwezekano kuwa alikuwa naye huku akiwa na wewe. Tafakari, toa uamuzi na chukua hatua. Kama ni wako wala huna haja ya kumtorosha, hapo ni suala la kuchukua mtoto wako. Kwishne. Unless huna uhakika Kama ni wakoushauri wenu nimeuelewa nashukuru ila kuna jambo moja ambalo naomba nijuzwe kwa anaejua,je nikimtumia mtoto nauli akatoroka akaja alafu yule mwanaume akaenda labda polisi akatoa taarifa kwamba mtoto amepotea baadae akapatikana kwangu je hii haiwezi kuleta shida? ndio hofu yangu
Binti yuko 16, si ajabu (imeshatokea) huyo baba yake akawa anamuabuse sexually bila au hata kwa ufahamu wa mamaye.
Chunguza!
wazazi wangu wako hai na hilo walishajaribu lakini mama wa mtoto hana tatizo wala bibi yake mtoto tatizo ni mwanaume ndio kikwazo hataki