Nawaombeni ushauri kuhusu huyu mtoto

Nawaombeni ushauri kuhusu huyu mtoto

Mwanao, mwanao tu! Ulivyomtesa inatosha! Fuata sheria ukachukue mwanao!

ww wataka watu wakulele mwanao, ajabu ya Mussa hii.....
nataka sana nimlee mwenyewe kwa kuwa mungu kanijalia uwezo wa kumlea,kisheria nilikuwa nawaza kama je hii ambayo tulienda tukaandikishana mahakamani na mama yake je inatosha?
 
++
kamanyora
Kuna mambo mawili hapo ninayoyaona
1.
Mumewe huyo aliyekuwa mwenzi wako anamtumia mwanao kama silaha ya kukaa na mke.Hataki waacheni maana huyo mwanamke anajua siri zake nyingi.Na hata huo ukali ni defencisive mechanism ya kuficha udhaifu wake.
2.
Wewe na huyo mwanamke bado mnapendana.Na mtoto mnamtumia kama kura ya VETO jambo linalomuumiza mtoto na sio nyie.
++
USHAURI
Simama kama mwanaume kamili aidha umchukue mtoto hata kama ndoa yake itavunjika Ama umuache mtoto ili akikua awe na hiari ya kukukana au kukusamehe kwa uzembe wa kumtetea.
++

himidini,huyo mwanamke sina hata chembe ya mapenzi nae maana ni mke wa mtu na mimi kwangu mke wa mtu ni zaidi ya sumu
 
Mi nashindwa kukuelewa, kwanza unaongelea gharama kwani wakati anamuoa alilazimishwa kulea mtoto? Si kutokana na mapenzi yake kwa huyo mwanamke, na alimuona na mtoto akakubali kumuoa, sasa adai gharama kwani we ulimkabidhi amlee?
Pili, kama mliandikishiana mahakamani maana yake una haki ya kisheria ya kuishi na mtoto wako, sasa inakuwaje unamuogopa huyo jamaa mpaka unamrudisha MWANAO kwake, au hiyo ndoa yao we inakuhusu nini hata ikivunjika? Chukua mwanao, na huyo mwanamke naye hajielewi mwache apewe talaka, kwani alipoamua kukuletea si aliamini wewe ndiye mzazi halisi ( biological father) wa huyo mtoto, sasa anaogopa nini?
 
Baada ya kumaliza shule nilimpa girlfriend wangu mimba,baadae tulitengana nikamuacha akiwa na mimba ya miezi 7 mm nikaenda masomoni nchini kenya na yeye baadae alitoka kuja dsm kwa dadake,toka hapo tulipotezana,akiwa kwa dadake dar alijifungua mtoto wa kike baada ya kujifungua alikaa kwa mda wa miaka 3 akatokea jamaa mmoja akamuoa na yule mtoto,mwaka jana kwa mara ya kwanza alinipigia cm (cjui namba alipata wapi) akiniambia unajua kama nilikuwa na mwanao?nikamjibu najua,alimueleza na mtoto ukweli wote na kumpa no yangu toka hapo mtoto ananilalamikia anavyoteswa,mama yake alifanya mpango akamtoa mtoto na kumpakiza kwenye gari toka arusha kuja kwangu dar nae akaja tukaandikishana mahakamani kwamba amenikabidhi mtoto(kumbuka alimtoa bila mwanamme kujua)akamwacha mtoto kwangu yeye akarudi arusha kwa mumewe mimi nikamuingiza mtoto shule(yuko form 2),alivyofika kwa mumewe akaanza kumtisha kwamba atamkata mapanga asiporudisha mtoto,mwanamke akanipigia cm kunibembeleza nimrudishie mtoto ili anusuru ndoa yake,nilivyo mwambia mtoto kurudi alikataa kata kata kwamba amechoka na manyanyaso na hawezi kurudi,nilmdanganya kwamba aende atarudi baada ya mwezi toka alivyoenda ananipigia cm akilia na kulalamika kwamba yeye anataka aje kwa baba yake yani kwangu.je nifanye nini?

mtoto ana miaka 16

We ni ms&%$$$#$... yani nimejisikia hamu ya kukutukana maana nimepata hasira sana.... Mwanaume gani wewe usiye na huruma unaamua kusacrifice maisha ya mwanao kwa sababu ya starehe ya watu ambao huna ukoo nao?!!! Hivi unajua kwamba huyo mtoto ana 50% ya 'damu' yako wakati huyo mwanamke na mumewe hawana hata 0% ya damu yako?

Yaani mwanaume anakutishia kwamba atamkapa MKEWE mapanga kama hutaki kumtoa MWANAO awe mtumwa na kiajkazi wake na wewe unakubali... Yaani hii thread yako imenitoa kwenye mood kabisa, wacha nilog out au niende kule kwenye siasa... fyuuuuuuuuuuuuuuuu...
 
Hiyo dam yako kaka usiache itexeke alihali babaye unauwezo wakumxaidia mchukue mtt wako kaka.

Huyo mtoto wewe humpendi na ndio maana hujisikii uchungu na yanayomkuta huko aliko. Nilidhani ungefurahi kumuona mwanao amekua na tokea hapo ungemsaidia kupona yote aliyopitia kumbe bado unatafuta ushauri . Hainiingii akilini kabisa anyway mtumie nauli atoroke huko aliko
 
We ni ms&%$$$#$... yani nimejisikia hamu ya kukutukana maana nimepata hasira sana.... Mwanaume gani wewe usiye na huruma unaamua kusacrifice maisha ya mwanao kwa sababu ya starehe ya watu ambao huna ukoo nao?!!! Hivi unajua kwamba huyo mtoto ana 50% ya 'damu' yako wakati huyo mwanamke na mumewe hawana hata 0% ya damu yako?

Yaani mwanaume anakutishia kwamba atamkapa MKEWE mapanga kama hutaki kumtoa MWANAO awe mtumwa na kiajkazi wake na wewe unakubali... Yaani hii thread yako imenitoa kwenye mood kabisa, wacha nilog out au niende kule kwenye siasa... fyuuuuuuuuuuuuuuuu...
Njoo huku kwenye siasa.
huko utaharibu siku.
 
mzabzab unachosema ndicho alichoniambia huyo mtoto kwamba kuna siku jamaa alimfungia mlango akitaka kumpiga lakini bahati nzuri majirani walimsaidia,huyo mama amezaa watoto wengine watatu na huyo bwana,amemwambia mkewe kwamba huyo mtoto akitoka ajiandae kupewa talaka na mwanamke anaogopa kuachika,na pia alidai mtoto akija kwangu ataenda polisi kuripoti kaibiwa,na swala la kuelewana angalau nimlipe garama alizotumia kama ndo zinamsumbua pia hataki

kamanyora acha umbulula, chukua mwanao nenda naye polisi atamaliza hiyo kesi huko. Au huna uwezo wa kumlea unategeshea wenzio walee?
 
mzabzab unachosema ndicho alichoniambia huyo mtoto kwamba kuna siku jamaa alimfungia mlango akitaka kumpiga lakini bahati nzuri majirani walimsaidia,huyo mama amezaa watoto wengine watatu na huyo bwana,amemwambia mkewe kwamba huyo mtoto akitoka ajiandae kupewa talaka na mwanamke anaogopa kuachika,na pia alidai mtoto akija kwangu ataenda polisi kuripoti kaibiwa,na swala la kuelewana angalau nimlipe garama alizotumia kama ndo zinamsumbua pia hataki

sasa si ukamchukue mtoto tu,gharama kitu gani pesa inatafutwa roho ya mtu je.....
kama anataka gharama umrudishie mpe.honestly huwa najisikia vibaya mtoto akiteswa.....
na wanawake wengine sijui wakoje kwanini ana mtumia mtoto kama chambo ya kuokolea hiyo
ndoa yake?

for any legal help, especially concerning the kid feel free kuni PM
.
 
Subiria mwanao afanywe bi mdogo .... Au tayari alishakuwa ... U are the only one left to rescue ur child's LIFE.
 
himidini,huyo mwanamke sina hata chembe ya mapenzi nae maana ni mke wa mtu na mimi kwangu mke wa mtu ni zaidi ya sumu

sasa kilichokufanya umrudishe mtoto kisa mume anamtishia ni nini? ina maana hupendi anyanyasike ndo maana
ukamtoa mtoto wako anyanyasike ili huyo mke awe huru...

kachukue mtoto baba
 
sasa si ukamchukue mtoto tu,gharama kitu gani pesa inatafutwa roho ya mtu je.....
kama anataka gharama umrudishie mpe.honestly huwa najisikia vibaya mtoto akiteswa.....
na wanawake wengine sijui wakoje kwanini ana mtumia mtoto kama chambo ya kuokolea hiyo
ndoa yake?

for any legal help, especially concerning the kid feel free kuni PM
.
Haya kaka michance hiyo kama kweli unampenda mtoto mdau huyu kajitolea so what are u waiting for ,changamka, amka , okoa maisha ya mtoto. Hata kama hateswi unapaswa kutimiza wajibu wako wa kuilea damu yako, kwanini mnajibweteka mnatatka wengine ndio walee watoto wenu watu wengine sijui vipi tu .
 
Mi nashindwa kukuelewa, kwanza unaongelea gharama kwani wakati anamuoa alilazimishwa kulea mtoto? Si kutokana na mapenzi yake kwa huyo mwanamke, na alimuona na mtoto akakubali kumuoa, sasa adai gharama kwani we ulimkabidhi amlee?
Pili, kama mliandikishiana mahakamani maana yake una haki ya kisheria ya kuishi na mtoto wako, sasa inakuwaje unamuogopa huyo jamaa mpaka unamrudisha MWANAO kwake, au hiyo ndoa yao we inakuhusu nini hata ikivunjika? Chukua mwanao, na huyo mwanamke naye hajielewi mwache apewe talaka, kwani alipoamua kukuletea si aliamini wewe ndiye mzazi halisi ( biological father) wa huyo mtoto, sasa anaogopa nini?
thank you very much
 
tatizo yule mwanamke amekuwa muoga kwa vitisho vya mume wake na mwanaume nae hataki mtoto aondoke

Huyu mwanamme anampimia huyu mtoto, atamla jamaa yangu hii dunia siyo kama unavyodhani. Mwanao hawezi kukuambia ila tambua wewe ndio baba halali na endapo atadhurika atakulilia kwa uzembe na woga.
 
kwa kuwa mlikabidhiana mtoto kisheria haukutakiwa kumwachia tena,
kweli lazima kuna gharama zimetumika kumtunza mpaka hapo alipofikia sasa na ulitakiwa uzilipe
waambie wazazi wako kama wapo hai washughulikie hiyo issue, vinginevyo utakuwa haumtendei mtoto haki.
 
Back
Top Bottom