alma gemela
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 842
- 280
Acha kumnenepesha kafiri, chukua mtoto wako kwanza hapo hata shule hawezi soma vizuri sababu ya manyanyaso, ongea na mwanao mtumie nauli atoroke aje dar Arusha magari hadi saa tano ya kuja dar then peleka boarding akasome huko
Msaidie binti yako anaweza kuja kukuchukia bure
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Msaidie binti yako anaweza kuja kukuchukia bure
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums