Nawaomba mnikaribishe kama mwanachama mpya hapa jf

RUTO

Senior Member
Dec 19, 2013
147
29
Ndg wanajamvi wote mm ni mwanachama mpya hapa JF niliyejiunga rasmi tarehe 19/12/13. Nimejiunga JF kwa lengo la mm kuchangia mawazo yangu katika ile Tanzania ninayotaka kuiona miaka 25 ijayo na kuendelea. Na pia kujifunza kutoka kwa wanajamvi wengine ili kuboresha uelewa wangu wa mambo kuhusu jamii na taifa letu kwa ujumla.
Ninaomba pia kutangaza mrengo wangu kuwa ni mwanachama mtiifu na mwaminifu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA. Sijawahi kuwa mwanachama wa chama kingine cha siasa na wala sitarajii kuwa hivyo MPAKA PALE CHAMA CHANGU CHADEMA kitakapowasaliti WATANZANIA.
 
Kwa hiyo unasubiri chama chako kiwasaliti watanzania usepe zako, siyo?
jitayarishe kutafuta chama haraka, kwssbb CDM saivi kipo katika huo mchakato unaosubiri wewe. Kwa ushauri tu CUF ni chama mbadala. Hakuna joto, usaliti wala kiherehere cha ulafi wa madaraka.
KARIBU SANA CUF chama kilicho na dhamira ya dhati ya kuwakomboa watanzaniA wanyonge bila ya kujali, rangi zao, dini, kabila au mirengo yao ya kisiasa.
 
karibu sna,ila ila usije ukajaribu kuleta mawazo mapya,baki nayo hvyohvyo!!tofauti na hapo utakuwa kinyume na mwenyekiti,na tutakupa jina la usaliti
 
Karibu kamanda kama kawaida yetu makamanda wa CHADEMA humu ndani utawajuwa kwa kutoa hoja za msingi SIASA ZA KISAYANSI na magamba utawajuwa kwa kutoa hoja kama WANATAPIKA
Taasisi kwanza ushabiki kwa mtu mmoja ni mwiko
 
Back
Top Bottom