Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,844
- 6,692
Habari za asubuhi wanajukwaa!
Iko wazi kwamba jukwaa limebeba watu tofauti ktk kila nyanja. Naleta jambo langu jukwaani nione uwezekano wa kupata ufumbuzi.
Kuamkia nyumbani halafu ukashinda tena nyumbani bila kuwa na mpango wowote siku nzima hakika inachosha sana jumlisha majukumu ya familia, kwahiyo kama yupo mwanajukwaa yoyote anayeweza kufanya jambo ikapatikana hta sehemu ya kujishikiza Niko tayari kwa shughuli yoyote ile ya kiume.
Nawasilisha na niwatakieni majukumu mema