Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,605
- 140,068
jamani hili ni jukwaa la siasa ,kama wamependana na kuoana hayo ni mambo ya kijamii yao binafsi zaidi,labda utupe hoja walizoshusha bungeni leoView attachment 51741
binafsi nawatakia kila la kheri katika shughuli za bunge, chama na katika mambo ya kifamilia
Ndivyo vipaumbele vya Kawe na Arumeru ? kaz kweli kweliView attachment 51741
Binafsi nawatakia kila la kheri katika shughuli za bunge, chama na katika mambo ya kifamilia
ni wanasiasa kwenye jukwaa la siasajamani hili ni jukwaa la siasa ,kama wamependana na kuoana hayo ni mambo ya kijamii yao binafsi zaidi,labda utupe hoja walizoshusha bungeni leo
Kazi na dawa jamni,kwani wakipeana raha baada ya kazi tatizo liko wapi?acheni wiv jamani!Ndivyo vipaumbele vya Kawe na Arumeru ? kaz kweli kweli
Ndivyo vipaumbele vya Kawe na Arumeru ? kaz kweli kweli
View attachment 51741
Binafsi nawatakia kila la kheri katika shughuli za bunge, chama na katika mambo ya kifamilia
Someone got to advice this young boy the plain truth ... the whole truth and nothing more that .. no "toying" with man woman relationship!!! ... May God bless all of this!!