Nawaleta kwenu Joshua Nasari & Halima Mdee katika Picha

Unamuona Nasari anavyojaribu kuwa comfortable around Halima.

Anajaribu kuwa mwanamme sio kavulana ka miaka 26, hadi namhurumia.

Please, kama ni memba humu, Halima kubali basi jamani.

dah wako juu sana aisee....
Nawaombea iwe kweli
 
Tofauti ya umri wao ni miaka mingapi?wamependeza wakae wenyewe waone kama wanapendana kweli maana ndoa ni maelewano na kupendana tu si umri wala majukumu!!ila kazi ipo kwa Nasari kama mwanaume
 
Kama ndoa,Nassari afanye kweli,ili awazibe mdomo akina "Dar Live"maana walimuandama sana mbunge wetu na yule mbunge mwenye jinsi kama yake.
Go on Nassari.
 
nassar ushamuona halima akiwa hana miwani?,,au unadumbukia2.nawatakia kheri
 
Mimi nampenda sn Halima lkn tatizo siko bungeni. Mh! Tajiri na tajiri masikini hata... . . . . . . . . . . . . . . . .
 
I see...
Kumbe na wewe umenote hilo.....


Unamuona Nasari anavyojaribu kuwa comfortable around Halima.

Anajaribu kuwa mwanamme sio kavulana ka miaka 26, hadi namhurumia.

Please, kama ni memba humu, Halima kubali basi jamani.
 
Mmmh, nafkr Nasar anahtaj apewe 'intenshp' kwanza kama s 'probation'...nina wasiwas kama atawezahendo huo mzigo!Isije ikawa ndo ya kwenda ksema kwa mama kla siku....
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom