Nawakumbusha tu wanawake wenzangu

Nawakumbusha tu wanawake wenzangu

Pole Sana dear kwa kupata mchakataji badala ya mwanaume.

Utakuta ulikuwa ukileta jeuri na dharau kwa mwamba aliyekuonyesha mapenzi ya dhati kwa michepuko yako, dizaini ya kina bodaboda, wauza sura,six park and the likes.
 
Nawe ndo mawazo yako sikupingi
 
Mwanaume ambae anakutafuta akiwa na hamu na wewe kingono hakufai kabisaaaa toka ndukiii hapo hakuna mapenzi ndo ushageuzwa sex machine usije fikiri kuwa ndo unapendwa.
Sex ndio kiunganishi Cha mapenzi na yege hazina ratiba kujifanya kulala na mwanaume Hadi umpangie siku unapoteza muda wako atachepuka tu
 
Back
Top Bottom