Nawakumbusha tu waislam

Nahonyo

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
3,867
2,000
Njoo ndugu yangu tusherekee, nipo mbezi mwisho, kama upo mbali, ukishuka tu pale stand, nijulishe nikufuate, kwanini bwana sikukuu inapita, ila yapo mambo mengi sana yakufanya kwa wana JF.
 
Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
180,433
2,000
Panda magari ya airport igoma shukia nera kisha tembea kidogo ulizia soko la kirumba lilipo fata maelekezo ukifika sokon nipigie 07967383638 nikuelekeze zaid maana mie naishi huku mabatini mliman
:D:D

ualikwe utadhan umechangia mchele weeee hali ngumu,kale tu kwa mama ntilie siku ipite
 
Me too

JF-Expert Member
Feb 9, 2015
5,027

umempa namba za gari boss yaani zimezid tarakimu ni dhahiri huitaji mgeni cku ya leo daaaah.
 
Sir_Mimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2013
6,817
2,000
Hadi muda huu hata mimi nashangaa sijapokea simu ya jamaa yangu Yusuph tusogee kwa mangi pale nyuma ya Vijana Kinondoni tukapate kitu cha Noah kama kawaida yetu,navumilia ikifika saa11 nikiona hola nampandia hewani...raha ya ile kitu uwe na kampan kuisubiri mda mrefu inachosha ila mkiwa wawili watatu story story mara kitu hichi hapa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom