Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,261
- 34,558
Duh unatafuta pesa ili ukatom.b.e??Wakuu tuache mbamba
Mademu wazuri kuwala ni pesa sasa usijifanye unalia lia tu hapa wakati kinachotakiwa ni pesa.
Pesa pesa pesa pesa pesa pesa
Shauri yako kama unatafuta vipesa unahonga.
Wewe tafuta pesa wao watakuja wenyewe acha pesa iongee mzee na siyo wewe uongee au kunyanyua kinywa chako.
Wewe ni wa kusema yes au no.
Maneno mengi tupa kule, pressure tupa kule.......
Nawakumbusha tu wakuu vyura ni vingi vyupi ni vyote shida pesa.
Taifa lina vijana wa hovyo sana ,nchi hii kupiga hatua itachukua muda sana kama vijana wenyewe wanaotegemewa mawazo yao wanayoyawaza ni haya.