Nawakumbusha tena wanaume tutafute pesa

Nawakumbusha tena wanaume tutafute pesa

The Eric

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
6,555
Reaction score
11,251
Wakuu tuache mbamba

Mademu wazuri kuwala ni pesa sasa usijifanye unalia lia tu hapa wakati kinachotakiwa ni pesa.

Pesa pesa pesa pesa pesa pesa

Shauri yako kama unatafuta vipesa unahonga.

Wewe tafuta pesa wao watakuja wenyewe acha pesa iongee mzee na siyo wewe uongee au kunyanyua kinywa chako.

Wewe ni wa kusema yes au no.
Maneno mengi tupa kule, pressure tupa kule.......

Nawakumbusha tu wakuu vyura ni vingi vyupi ni vyote shida pesa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom