Kufuatia sintofahamu ya kupiga mabomu na risasi kwenye mitaa na kuwatishia watu wasitembee maduka na magenge yamefungwa
Watu wanakula akiba ya chakula kilichokuwa nyumbani, kikiisha nawahakikishia watu hawatavumilia njaa, hawatakubali kufa kwa njaa watakuja mitaani bora muwauwe kwa risasi
Ndipo kundi kubwa zaidi litaingia mtaani kupambania uhai wao wapate chochote, ni bora mkubali yaishe sasa kabla hali haijawa mbaya.
Hata hao Polisi watawageuka familia zao zikikosa kibaba cha unga ndani, mtapigana risasi huko huko