Nawahitaji watu waliosomea Course ya Agricultural General

manlaw

Member
Apr 20, 2017
53
18
Wakuu naombeni mnichanganulie zaidi kuhusu hii Course kwenye upande wa ajila na pia sector ambazo naweza ku-fit na pia bila kusahau faida zake
 
Nimekupata je katika upande wakuajiliwa
pole sana, eti kuhusu kajiriwa, hata sisi tukiwa chuo tulifikiriaga ivo ivo, baada ya kuja uraiani mhii ni shida tupu bora muuza nyanya za mafungu. usawa huu si wakutegemea serikali tena 100%
 
Mkuu ngoja nikujibu kama nilivyoelewa swali lako maana naona watu wanabwabwaja mambo ambayo hata haukuuliza.,

Kimsingi mtu aliyesoma general agriculture ni mtu ambaye anaweza kuajiliwa ktk sector nyingi sana na akafiti flesh tu ngoja nikwambie kwa ujumla ili kuokoa muda,

Mtu wa general agriculture anaweza fanya shughuri zote zinazousiana na module alizosoma pindi yuko chuo kwa maana iyo mtu wa agriculture ana wigo mkubwa wa kuajiliwa katka sekta tofauti tofauti,

Naishia apo mimi maana kauelewa changu namashaka nacho
 
Nlivyoelewa Mimi, waliosoma General agriculture unaweza kuajiliwa kama Afsa kilimo au Afsa mifugo
 
Kasome hiyo course nakwambia hutajutia maamuzi yako! Imebeba vitu vingi sana hivyo katika ajira utafikuwa fiti nafasi km vile utafiti wa kilimo,afisa kilimo,afisa mifugo,mambo ya food processing, public health pia,na mengine mengi kijana kule mpaka ujenzi na mambo ya hali ya hewa utasoma hivo katulize ajili tu!
 
Back
Top Bottom