Nawahitaji watu waliosomea Course ya Agricultural General

Kasome hiyo course nakwambia hutajutia maamuzi yako! Imebeba vitu vingi sana hivyo katika ajira utafikuwa fiti nafasi km vile utafiti wa kilimo,afisa kilimo,afisa mifugo,mambo ya food processing, public health pia,na mengine mengi kijana kule mpaka ujenzi na mambo ya hali ya hewa utasoma hivo katulize ajili tu!
Samahan mkuu nliomba kukuuliza hii coz na agronomy INA utofauti kiasi gan?
 
Back
Top Bottom