mama lubango
Member
- Aug 16, 2011
- 56
- 8
wapendwa kuna m2 anafaham mahal naweza pata dawa ya kunichelewesha kufika kilelen?! NB: Ni kwa ajil ya rafik yang wa kike kaniomba msaada yeye c member wa jf
tatizo ni kwamba huyu m'ke akifika kilelen huwa hatak kabisa mwenzie aendelee & mech stimu zote huwa zinamkatika palepale kiac kwamba anaweza kukihama chumba & kumwacha mwenzie kaambulia patupu ndo maana anaomba huo msaada juu kama upo
Jina lako lilinifanya ni assume ni mwanamke.... This post however inaonesha ka vile a guy..
After a week nitaku pm - na suggestion yangu... for leo siwezi kabisa... nikisahau na you
still need more answers utanikumbusha... However sio guarantee kua ndo jibu sahihi...
Best of Luck... na nina imani other members watakuja ja ushauri zaidi...

I wish i had that type of a woman!

Kweli kibaya kwako, kwa mwenzio dhahabu!

Huyu mwanamke hajajua thamani ya mwili alio nao hadi anatafuta kuubadilisha!...Goosh!

Mwambie asionje kabisa viagra ya kike, atajiharibu!...Hajui wanawake asilimia kubwa wanafika menopause hawajajua kufika kilele!
Watu mnapenda kuja kama third part humu sijui hua mnaopgopa nini.wapendwa kuna m2 anafaham mahal naweza pata dawa ya kunichelewesha kufika kilelen?! NB: Ni kwa ajil ya rafik yang wa kike kaniomba msaada yeye c member wa jf

Nilitaka niseme natamani ningekuwa mimi wengine hatufiki yeye anasema hapendi dah haya bana
Na hii kadhia hapa chini unaiongeleaje? nayo ungependa pia?

Nilitaka niseme natamani ningekuwa mimi wengine hatufiki yeye anasema hapendi dah haya bana
tatizo ni kwamba huyu m'ke akifika kilelen huwa hatak kabisa mwenzie aendelee & mech stimu zote huwa zinamkatika palepale kiac kwamba anaweza kukihama chumba & kumwacha mwenzie kaambulia patupu ndo maana anaomba huo msaada juu kama upo

Nilitaka niseme natamani ningekuwa mimi wengine hatufiki yeye anasema hapendi dah haya bana

I wish i had that type of a woman!

Kweli kibaya kwako, kwa mwenzio dhahabu!

Huyu mwanamke hajajua thamani ya mwili alio nao hadi anatafuta kuubadilisha!...Goosh!

Mwambie asionje kabisa viagra ya kike, atajiharibu!...Hajui wanawake asilimia kubwa wanafika menopause hawajajua kufika kilele!
Umesoma vizuri hii thread au umekurupuka usingizini?Supu ya pweza na konyagi