hapana simuombei chuo tofauti.Jambo jema sana ulifanyalo Mkuu rennesha ukiachilia mbali kuwa ni fursa. Natumai wanafunzi wenyewe huchagua kozi na vyuo wavitakavyo ili wewe uwasaidie kuwaombea. Lakini, itakuwaje endapo wewe ukimuombea chou tofauti au kozi tofauti na aliyoitaka mhusika? Kila la heri Mkuu!
Watu wengi wanasema hivi, mbona mi nimelipia kwa tigo pesa na haijasumbuawazo ni zuri sana, kuna mtu anauliza kulipia UDSM na UDOM system inasumbua je wewe unalipia kupitia mfumo upi?
tigopesa itakua ndio solutionWatu wengi wanasema hivi, mbona mi nimelipia kwa tigo pesa na haijasumbua
Yah nadhani, mi nimeshamaliza kuapply vyuo vyote na kote nimetumia tigo pesatigopesa itakua ndio solution
poaa mkuu MPESA inazngua sanaYah nadhani, mi nimeshamaliza kuapply vyuo vyote na kote nimetumia tigo pesa
naam Tigo pesa wapo vizuriYah nadhani, mi nimeshamaliza kuapply vyuo vyote na kote nimetumia tigo pesa
Mimi udom inazengua, niliomba last yr nkakosa. Nikiomba mwaka huu wananambia nilishajisajili half nkiweka password inagoma. Nimereset pia more than 20 times ila inagomawatu muendee kuleta kazi, zinaendelea kufanywa kwa umakini wa hali ya juu.
N.B nimegundua wanafunzi wengi waliosoma PCB na CBG halafu wakapata division 2 au 3 wanapanikishwa wakasome diploma
Waje tushauriane.
mkuu samahani nipo namuapplyia dogo sua but nikiweka username na password vipi napata reference noWale wanafunzi waliomaliza form 6 na wanaotarajia kuingia chuo (degree)mwaka huu nina habari njema kwenu.
Nipo hapa nafanya kazi ya kuwasaidia kufanya application za kwenda chuo, unachotakiwa ni kunipa tuu taarifa zako muhimu kama email(ikiwa huna ntakutengenezea), namba za simu na taarifa zingine muhimu, kila kitu kilichobakia ntakufanyia mimi.
Uzuri mmoja teknolojia imerahisisha mambo,kwahiyo ntakapokufanyia application we mwenyewe utahakikisha hukohuko ulipokuwa, na tutakuwa tukiwasiliana kupitia whatsaap na message za kawaida vile vile ushuri wa bure kabisa kuhusu kozi za kusoma na chuo cha kuchagua ntakupatia..karibu sana
Mawasiliano. 0718274828
au
0789805698
Email:areachood@gmail.com
yeah.. unless deadline isiwe imepitaNa je unaweza omba vyuo viwili Kwanza then baada ya muda ukaongezea tena vingine?
nichekiMkuu msaada maana nahisi kukwama kwa sua...sipate invoce number ya malipo
leta kazi nikufanyie hiyo mkuuSUA SUA ni tatizo!!
Asante mkuu.Ubarikiwe.yeah.. unless deadline isiwe imepita