nashukuru kwa kunisaidia kujibu mkuuInawezekana, nimewafanyia wanafunzi wengi mwaka jana mkuu, so usiwe na shaka, mshkaj yuko poa kwakuwa ni bonge la idea na fursa
suala la kupata au kukosa chuo hutegemea na ufaulu wa mwanafunzi na ushindani uliopo kwenye kozi aliyoapply.Ila asipopata utatafutwa....
ni maelewano mkuu..Unatoza sh ngapi? Au ni bure?
ahsante boss.Hongera sana mkuu kwa uaminifu wako maana mdogo wangu kaniambia umemkamilishia application udsm na Udom.
thank you Jf pia kwa kutoa avenue hii, maana sisi tuliomaliza zamano huu mfumo wa sasa kidogo ni ngumu hata kuwaelekeza madogo
ahahaha sawa sawa mkuu.ahsante boss.
kama una kijana/vijana wengine waambie nafanya hizo kazi utakuwa umenipa kiki sana mkuu, ndio kusaidiana hivyo.
wazo ni zuri sana, kuna mtu anauliza kulipia UDSM na UDOM system inasumbua je wewe unalipia kupitia mfumo upi?Wale wanafunzi waliomaliza form 6 na wanaotarajia kuingia chuo (degree)mwaka huu nina habari njema kwenu.
Nipo hapa nafanya kazi ya kuwasaidia kufanya application za kwenda chuo, unachotakiwa ni kunipa tuu taarifa zako muhimu kama email(ikiwa huna ntakutengenezea), namba za simu na taarifa zingine muhimu, kila kitu kilichobakia ntakufanyia mimi.
Uzuri mmoja teknolojia imerahisisha mambo,kwahiyo ntakapokufanyia application we mwenyewe utahakikisha hukohuko ulipokuwa, na tutakuwa tukiwasiliana kupitia whatsaap na message za kawaida vile vile ushuri wa bure kabisa kuhusu kozi za kusoma na chuo cha kuchagua ntakupatia..karibu sana
Mawasiliano. 0718274828
au
0789805698
Email:areachood@gmail.com
TIGO pesa mkuuwazo ni zuri sana, kuna mtu anauliza kulipia UDSM na UDOM system inasumbua je wewe unalipia kupitia mfumo upi?
Nina 2000 nataka umsaidie dogo ku apply..ahsante boss.
kama una kijana/vijana wengine waambie nafanya hizo kazi utakuwa umenipa kiki sana mkuu, ndio kusaidiana hivyo.
nshamalizana nae, alikuwa anataka Udom, ubarikiwe sana kiongozi.mkuu kuna dogo mwingine nimekutumia PM namba zake zungumza nae mkuu
ndio inawezekana.Kama MTU umemaliza diploma unaweza msaidia Ku apply?
ongeza mkuuNina 2000 nataka umsaidie dogo ku apply..