Nawachukia wanaume



Kwahiyo unatuchukia wanaume wote?
 
pole dada ila jua hata maandko yanasema kila jarbu litapta hvyo muombe mungu na uskmbilie kumuacha muombee xana na mungu atajbu
 

Kamsemee kwao
 
Maneno Yake yasikufanye Ukampa sifa zote Inawezekana Ana matatizo tena makubwa. Mwanaume hawezi kukurupuka tu
Weeee there is no justification for cheating. Na siamini kwamba Kila mwanaume anayecheat ni kwa sababu mwanamke kakosea. Mahusiano kama hayaendi unavyotaka basi toka, usicheat. Na kuna wanaume hata akidate malaika atamcheat tu. Afu sielewagi mnavyoconclude kuwa mwanaume akicheat tu, basi mwanamke ndo kakosea, nyie kwenye mahusiano hamkoseagi? Ni malaika nyie?
 
Ndugu yangu anakukuta humjui mwanaume yeye ndo wa kwanza unapenda kupitiliza .unaamka asubuhi unamuandalia mpaka supu mumeo aende kashiba ,umetimiza wajibu wako name kumtii lakini anayokufanyia no balaa mi moyo ulishakufa nimebaki kugightia maendeleo yangu tuu kumbe hakuna kupenda dunia ningejua ujana wangu ningeufaidi vizuriii log mxiiiiu Mungu anisamehe
 

Una akili kweli sijui ni me Mkuu Nina mdogo Wang tafadhali mkuu
 
Kumbe uliingiza moyo wote ingia nusunusu siku nyengine pole lkn
 
Heaven Sent kumbuka ile thread ya quote na misemo niliyoitoa,, ulitoa quote nzuri sana ambazo katika ili tatizo lako ziliweza kua solution au kukupa ahueni
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…