Nawachukia wanaume

Nawachukia wanaume

inakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye cm yako lakin unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii...jamn kuna wakati wanatulaum wanawake lakin jmn kuna wanaume vimeo cjawahi kuona duuh

Pole sana. Lakini huyo wako asikufanye utchukie wote. Good men tupo play your cards right lady.
 
inakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye cm yako lakin unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii...jamn kuna wakati wanatulaum wanawake lakin jmn kuna wanaume vimeo cjawahi kuona duuh

Kwa maoni zaid ni pm,mimi ni kimbilio la wanyonge
 
kwani baada ya kugundua ame cheat umepungukiwa nn bibie,?

Acha maisha yaendelee tulisha ambiwa hapa na Life HACKER kulia lia uaminifu ni upuuzi
 
Last edited by a moderator:
inakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye cm yako lakin unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii...jamn kuna wakati wanatulaum wanawake lakin jmn kuna wanaume vimeo cjawahi kuona duuh

Amchukiae nduguye ni muuaji
 
Ukiwapenda watakukaa akilini, ukiwachukia watakukaa akilini pia. Ukishindwa kuwapenda basi waignore tu then be happy na maisha yako. Afu ipo siku utampata "Mr right" wako na utasahau machungu yote. Ubaya wa huyo aliyekutenda usikubadili ukawa bad girl, wala usichukulie kuwa wanaume wote hawafai. Just keep on being a good girl.
 
Sisi waafrika Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema katika mahaba alitupa upendeleo. Paja la binti/dada/mama wa kiafrika linatia wazimu "wanaume" kuliko hata mgao wa umeme. Ndio maana Bibi zetu waliwatafutia waume zao mpango wa kando kwa kujui mwanaume wa kiafrika hawezi kutulia na mtu mmoja.

Kingine kinahamasisha haya ni uvivu, jamii imejikuta ni ya watu wavivu wenye kupenda kula vizuri. Matokeo yake ndio hayo unayolalamikia.

Ushauri wangu tafuta mjapani ili usiumizwe. Soma kitabu kinachoitwa "BIKIRA YANGU"
 
Ukiwapenda watakukaa akilini, ukiwachukia watakukaa akilini pia. Ukishindwa kuwapenda basi waignore tu then be happy na maisha yako. Afu ipo siku utampata "Mr right" wako na utasahau machungu yote. Ubaya wa huyo aliyekutenda usikubadili ukawa bad girl, wala usichukulie kuwa wanaume wote hawafai. Just keep on being a good girl.

je yeye ni mrs right?
 
Back
Top Bottom