Nawachukia sana Polisi

Ni kweli kabisa,ndani ya Jeshi la Police kuna police wengine ni wazuri tu,na wako katika maadili yao ya kazi hata uumpe Nini atasimamia ukweli,hata Kama anajua mwenzake ndiyo kavurunda bado atabaki kwenye haki tu! Na ushahidi ninao pia!!
 
Adui (Polisi) unayemuweza husimuachie Mungu.
 
Mtegee Mungu * usilipe kosasi samehe na songa Mbele hakikisha hauifadhi chuki ndani ya *Moyo
 
Dawa ni kuwahepuka kwa kufanya yaliyo mema machoni na mafichoni mwa jamii.
Baadhi ya polisi wanalalamikiwa kwa kubambikia watu kesi, ni kwamba mtu hajafanya kosa lakini anatengenezewa koso, labda mkuu, hayajakukuta.
 
Tena sitaki wala sitakuwa karibu kwa namna yoyote na mtu polisi wa TZ! No watu amba hata kuwa na jirani polisi ni mkosi.
 
Nlimuuzia jamaa tv(chogo) akakaa nayo mwezi ikamfia akaja nidai ninrudishie pesa nakachomoa...mzee ilikuja pira ya polisi mpaka geto....🤣🤣nkasombwa mpaka kituon nkapewa kesi ya uhujumu uchumi...eti nafanya biashara bila leseni kmmk 🤣🤣🤣2015
 
Nlikuwa nakula mbususu moja barmaid kumbe kuna poti naye anafkuzia...daah sku moja nko zangu bar napga knywaji akaja na wenzake wa 3🤣🤣wakanambia nko chini ya ulinz wakanisachi...jamaa likanchomekea kipisi cha bangi......tayar nkapewa kesi ya madawa ya kulevya kisa malaya wa bar 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nlikutana na poti mmoja bar akaniomba nimnunulie bia nkamkazia....ikapita wiki nkakutana nae road akanchapa faini ya kingese 🤣🤣🤣🤣polisi wote motoni aisee
 
 
Shemeji yako ndiyo aliamuwa kukupiga! Hahaha!!!
 
Polisi rushwa wanaona Kama haki yao,halafu hata wao kwa wao wanaombana rushwa!!Kile Kituo cha Police Central ni Kitivo Cha rushwa,mtu unashangaa hata Polisi Mkubwa tu anaomba rushwa!!

December 2021,niliingia kwenye anga zao,huku na huku wakanilaza Central aisee anakuja mkaguzi na Nyota zake anataka 10M kirahisi sana,eti anasema kwa ajili ya mkubwa,sikutoa hata Senti Moja ingawa nikamaliza wiki mbili pale na mpaka leo Kesi iliishia pale pale!!

Sasa,wakati niko mle nyavu,nilikutana na Askari 8 nao wamo nyavu mle mle ndani wakati huo wao wamemaliza siku 60!!,eee bwana ee bwana wale askari walinisimulia mkasa mzima,Kuwa na fedha zimeibiwa Makao Makuu ya Polisi ambapo 6 bilion zimepotea na Mhasibu Mkuu wa zile fedha ametoroshwa na Viongozi wakuu wa Jeshi la Polisi Makao Makuu!!,ili kuua sooo wakawakamata wahasibu wa Mikoa ya DSM na kuwaweka nyavu!! Mbaya zaidi aliyekuwa amewaweka hawa askari ndani naye alikuwa anawaambia hawa askari watafute Sh.200M ili awatoe!!, Sijui waliishia wapi wale askari,Maana mpaka mimi natoka walikuwa bado wako mle ndani!!,hawa askari taarifa zao za mahesabu zilikuwa Vizuri tu!!,Kuna mmoja alikuwa anatembea na dispatch ambayo ilikuwa inaonyesha jinsi fedha zilivyokuwa zinatolewa na kukabidhiwa kwa wahusika!!!

Mamlaka husika wasaidieni wale askari,Wana ushahidi wote!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…