Nawachukia sana Polisi

Hiyo koneksheni unaifisha..huo ndio usnitch wenyewe. Wengi hapa mbwa tu.

Kwahiyo unashindwaje kuwapa wenzako hapa mbinu. Mbwa wewe
Nikitaja tu, itajulikana. Ila wale police hawatasahau kilichowakuta
 
pole sana. japo umeandika kama hadithi ambapo inakosa uhalisia. tungetamani kujua yafuatayo ....

1. ulikamatwa ukiwa unafanya kazi gani, ukahusishwa na kosa gani
2. ulibambikizwa kosa/makosa gani
 
[emoji1787][emoji1787]eti mkwarA
 
pole sana. japo umeandika kama hadithi ambapo inakosa uhalisia. tungetamani kujua yafuatayo ....

1. ulikamatwa ukiwa unafanya kazi gani, ukahusishwa na kosa gani
2. ulibambikizwa kosa/makosa gani
Nimeshindwa kutoa maelezo mengi kwasababu kesi bado ipo mahakamani
 
Ukifanya vitendo visivyo vya maadili chini ya mwamvuli wa taasisi ya umma bila shaka utakua imeichafua taasisi.
Naomba kufunga mjadala
 
Police kituo madale wajitafakari Sana kituo kipo chini ya mam mmoja ila waliopo chini yake Kaz zaoo Ni kubambikiza watu makesi

Askari wapelelelez wanna aribu kesi na ushahidi mwingi sanaaa
 
Dawa ni kuwahepuka kwa kufanya yaliyo mema machoni na mafichoni mwa jamii.
 
UA ALIYEKUBAMBIKIA
 
Wewe ni snitch sana

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Hata Mimi ninawachukia Sana naamini NAO wanatuchukia Kwa kiwango kilekile je,wewe unawachukia Polisi wote Nchini au wale waliokubambikia kesi? Inawezekana wapo wachache wasio na shida tufanye utafiti.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…