Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,955
- 36,392
Mkiwafikia wazee waliofungiliwa account za Tiktok na watoto wao mniambie!Yanajifanya hayapo Facebook ila JamiiForums ndio kuna members wengi ambao wapo Facebook π
Ila ukiyaangaalia hapa yanajifanya majanja , kuwa hayapo fb π€£
Kumbe ni mambigwa ya fb tu kama sisi tuπ
Naachaje Mangi na lazima nije msibani kumsaidia Seran kulia πHahha binti wa zamani nikifa usiache kuweka mauaπ
kuna mtu anaweza kuleta uzi akaambiwa umetoka facebook.. hii inamaana gani?Ila watumiaji wa fb punguzeni kujishtukia. Mtu akisema hatumii mtandao wako pendwa haimaanishi kuwa anajiona ni bora kuliko wewe. Kuna faida gani kutumia kila mtandao kama huna ulazima wa kuwepo huko?
Yes mkuu.Hii identity inafahamika sehemu nyingi bwasheeπ€£.Wewe ni mwana fesibuka mwenzetu acha nongwa π
Sawaa mkuu Aluta continuaππ€π€£π€£ dharau zina zidi natulia tuπ
Nawapiga kwa ukweli mchungu tuπ π π
ππ Tumeshatoka fesibuku tumehamia kwenye afu hamsini. Mimi naomba laki tatu basiHatu jishutukii ila jf mnaongoza kuomba hela za kipumbavu ,sasa elfu 50 nayo ni hela ya kuomba ? Ya mwanadamu kuomba kama connection?
Kwani imekuaje??Ila watumiaji wa fb punguzeni kujishtukia. Mtu akisema hatumii mtandao wako pendwa haimaanishi kuwa anajiona ni bora kuliko wewe. Kuna faida gani kutumia kila mtandao kama huna ulazima wa kuwepo huko?
Wajuaji wanatunyanyapaa watumiaji wa fesibukuπKwani imekuaje??
Sasa kwani lazima kila mtu atumie FB? kila mtu anaamua yeye atumie platform ipi.Wajuaji wanatunyanyapaa watumiaji wa fesibukuπ