Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,892
- 52,491
kaka uko vizuri sana and i like the fact that you do it for fun!
JF raha sana
Ni raha tupu kweli. Maana hata assignment kuna uwezekano ikasoviwa JF halafu wewe ukafanya ku-copy tu na ku-submit kwa lecturer
!
!
Jf sio rahatupu, rahatupu wanarahatupuisha
Rahatupulization ya ku-copy na ku-paste sasa haitakiwi tena siku hizi
na mimi namshangaa kwani zile za magazijuto hazipo siku hizi...
Wewe kyanaKyoMuhaya utanifaa sana kutafutia hela hayo madudu.Question:
Show that
y=c1sin2x+3cos2x
is a general solution for the differential equation
d2y/dx2+4y=0
Solution:
We have a second order differential equation and we have been given the general solution. Our job is to show that the solution is correct.
We do this by substituting the answer into the original 2nd order differential equation.
We need to find the second derivative of y:
y = c1 sin 2x + 3 cos 2x
First derivative:
dy/dx=2c1 cos 2x−6 sin 2x
Second derivative:
d2y/dx2=−4c1 sin 2x−12 cos 2x
Now for the check step:
LHS=d2y/dx2+4y=[−4c1sin 2x−12 cos 2x]+4(c1sin 2x+3 cos 2x)=0=RHS
!
!
Kumbe ni mdau au ulikuwa mdau wa rahatupu. Kwa sababu inaonekana unaijua vizuri hiyo blog. Umejua zamani ilikuwa vipi na sasa ikoje hahahahahahahahahahahaha haya mkuu salute
Kinunda ha ha ha!Umezitoa wapi? Trunter,Shayo au Mzumbe Project?