Nawaachia Homework wale wa mambo yetu yaleee back in days (still got it?).....!!!!!

Nawaachia Homework wale wa mambo yetu yaleee back in days (still got it?).....!!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,139
xsa.jpg
 
Hazinipi shida Mkuu, Kama kumsukuma mlevi vile!
 
Ngoja nisolve moja baada ya jingine halafu baadaye nitashusha majibu hapa...

attachment.php
 
Nilipofika hapa ndo nikazikimbia hesabu...

Heheh kama ulifika hadi huku basi ulijitahidi maana hii makitu ni ya A-Level au Chuo...

Wale waliosoma Additional O-Level waliinusa nusa tu kwa mbaliiiii
 
Heheh kama ulifika hadi huku basi ulijitahidi maana hii makitu ni ya A-Level au Chuo...

Wale waliosoma Additional O-Level waliinusa nusa tu kwa mbaliiiii

Unaona sasa,... mi nilidhani ni za darasa la kumi na mbili.., nazijua basi!?
 
Back
Top Bottom